Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Duh!Machadema yanaamini bila mzungu hayawezi kuuona ugali mezani wala kwenda chooni.
Kama unammisi sana dikteta twende tukakufukie kwenye kaburi lake msituchoshe.Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato...
Stick to the point young lady. Acha mihemuko.Kama unammisi sana dikteta twende tukakufukie kwenye kaburi lake msituchoshe.
Zama za kishamba zimekwisha lazima mlikubali hili na hii nchi hatuwezi kurudia kosa kuwakabidhi washamba.
Ni upi mtazamo wako?Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato...
Not nécessarly, ile kutoka tuu na kutembea, unapata kitu kinachoitwa exposure, kukutana na kubadilishana mawazo na wengine kuna ku broaden your perspective, you won't ne the same, think the same, you will think differently.Safari hii tumewakilishwa na mkuu wa nchi. Je, ndio kusema taasisi kubwa kama Imf, Wb na taasisi Tanzu za UN zitaisadia Tanzania na kupaaa kiuchumi?
Baki na upunguani wako kama mwendazakeMiaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato...
P haya ni mawazo na mtazamo chanya,ila kwa Tanzania yangu niijuyo ya watu wanaotazama maslahi ya kwao na kundi la wachache,na hofu ya kuwepo hiyo flexibility ya mitazamo na mabadiliko chanya ya ulimwengu uliostaarabika.Not nécessarly, ile kutoka tuu na kutembea, unapata kitu kinachoitwa exposure, kukutana na kubadilishana mawazo na wengine kuna ku broaden your perspective, you won't ne the same, think the same, you will think differently...
Duh... Samia kwenda Marekani ameshakuwa CHADEMA?Machadema yanaamini bila mzungu hayawezi kuuona ugali mezani wala kwenda chooni.
Hivi unaona IMF na WB kama donor? Ni Wafanya biashara hawa too fedha bila kurejeshewa na kwa riba wala si msaadaMiaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato...
Kwani tulipowakilishwa na mawaziri hatukonyesha ushirikiano?Ujinga ni kuziba masikio,ujeuri na kiburi. Tanzania inaihitaji dunia ili iweze kusonga mbele, kuvaa miwani ya mbao na kujifungia chumbani huku ukijiaminisha kila kitu kipo sawa ni kujidanganya tuu...
Katika kikao cha wazazi kila siku unamtuma mwanao akuwakilishe unafikiria hiyo ni good gesture?Kwani tulipowakilishwa na mawaziri hatukonyesha ushirikiano?
Exposure inaletwa mpaka rais afanye ziara nje ya nchi? Sio kweli mkuu. Dunia ya leo sio ile ya zamani ambayo kupata habari za sehemu nyingine mpaka usafiri.Not nécessarly, ile kutoka tuu na kutembea, unapata kitu kinachoitwa exposure, kukutana na kubadilishana mawazo na wengine kuna ku broaden your perspective, you won't ne the same, think the same, you will think differently...
Compare and contrast.Katika kikao cha wazazi kila siku unamtuma mwanao akuwakilishe unafikiria hiyo ni good gesture?
#Mama 2025
Compare and contrast.Katika kikao cha wazazi kila siku unamtuma mwanao akuwakilishe unafikiria hiyo ni good gesture?
#Mama 2025
Kila enzi na kitabu chake. Mama Samia Suluhu Hassan hawezi kuwa sawa na Mwendazake.Miaka mitano yote akiwa madarakani tuliwakilishwa na mawaziri wa nje. Na hakuna mtanzania aliyeona labda tumepungukiwa kiuchumi. Zaidi ya kuona maendeleo kwenye sekta za afya, miundo mbinu na ukusanyaji mapato...