Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

Magufuli alikuwa na uwezo mdogo sana hivyo asingeweza kuhutubia kwenye UNGA.
 
mtumishiwaleo Kukujibu maswali yako kuhusu kupanda kwa per Capita dhidi ya kununua ndege itakuwa sawa na kumpa mbuzi biriyani ale.

Hii mada ni kubwa sana kwa ubongo wako. Naona Hamatan amemwaga madini kwa mburula au kwa la saba B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…