Not nécessarly, ile kutoka tuu na kutembea, unapata kitu kinachoitwa exposure, kukutana na kubadilishana mawazo na wengine kuna ku broaden your perspective, you won't ne the same, think the same, you will think differently.
Tena unaweza usiamini, akikutana na taasisi za human right wings, akirejea tuu, mara pap... DPP anapeleka Nolle na kumaliza hizi kelele !.
Wajameni, haya sasa ndio mambo haya.
Kuna vitu watu tulisema, japo tulibezwa sasa vinatokea na vinajidhihirisha.
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania alifanya mabadiliko ya kiutendaji ikiwa ni pamoja na kumuondoa aliyekuwa Katibu Mkuu kiongozi Dokta Bashiru Ali na kumteua kuwa mbunge. Je, wachambuzi wanazungumzia vipi hatua hii? Msikilize mchambuzi wa siasa za Tanzania, Pascal Mayalla akichambua kwa kina...
p.dw.com
Hapa nilisema kitu kuhusu Tanzania ya Samia compared na Tanzania ile, kiukweli kabisa, Tanzania tunakwenda kuwa na Tanzania bora, Tanzania njema na Tanzania nzuri kuliko Tanzania ile, kitu kinachohitajika sasa ni kumpa muda.
Hongera sana Mama Samia, una uwezo na unaweza kututoa hapa tulipo na kutufikisha kule tunapaswa kuwa.
P