Katika vita vya kibiashara vya Marekani na China, Mexico ndio anaibuka na ushindi mkubwa.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu.

Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi.

Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini Marekani wana mpango wa kuongeza ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka nchini China kuingia Marekani jambo ambalo litakuwa ni pigo kubwa sana kwa uchumi wa taifa la China na ndio maana China sasa inahaha kuhamishia viwanda vyake nchini Mexico ili watengeneze bidhaa katika nchi hiyo zenye maandishi ya "Made in Mexico" na kuviuza nchini Marekani hali inayoonyesha kwamba bila "Marekani hakuna China."

Takwimu mpya zinaonyesha kuongezeka kwa biashara kati ya China na Mexico wakati wa mazungumzo magumu ya ushuru wakati wa kampeni ya urais. Data ya forodha inaonyesha ongezeko kubwa la malighafi na vipengee kutoka China vinavyoingia Mexico ili kutengenezwa kuwa bidhaa zilizounganishwa kikamilifu ambazo husafirishwa hadi Marekani kupitia reli au kwa malori.

"Tunaona kampuni nyingi zaidi za Kichina zikihamisha vifaa vyao vya uzalishaji kutoka China hadi Mexico," Jordan Dewart, rais na mtaalamu wa vifaa vya kuvuka mpaka Redwood Mexico, aliongeza kuwa vifaa hivi vinatumia kampuni za vifaa za China, ambazo hutoa huduma kama vile ghala. usimamizi wa hesabu, na usafirishaji. "Wanaweza kuleta sehemu zao na malighafi kutoka Uchina na kisha kuzalisha bidhaa huko Mexico kwenye vituo vyao vya Uchina na kisha kusafirisha bidhaa hizo hadi Marekani.

https://www.cnbc.com/2024/09/20/china-mexico-backdoor-trade-booms-in-trump-biden-tariff-era.html
 
Marekani alifanikiwa kuwabinya korodani Latin America ikiwemo Mexico ambao ndio tegemeo la china kibiashara kwa sasa china itakua na wakati mgumu sana.

Ulaya inatishia kumuwekea vikwazo China, Marekani anaweka vikwazo, India alishaipiga marufuku China, nchi za Asia kama Malaysia Vietnam na nyinginezo nazo zinapambana na soko lao hivyo China atabakia na Afrika tu.

Sasa Afrika utafanya biashara gani ya maana, purchasing power ni kama sifuri, watu tunataka viatu vya elfu 10 ama 20, nguo za elfu 10 na ishirini.

Anyway muda ni mwalimu mkuu, tusubiri muda utasema.
 
Acheni kuandika mambo ya kinadharia ili ufurahishe moyo wako.

Kwa levo ya Chna kiuchumi , kiteknolojia,kiviwanda,kielimu,kibiashara,kijeshi ,kimiundo mbinu hakuna mwenye ubavu wa kuirudisha nyuma tena.
Kama ambavyo china inalihitaji soko la USA na vile vile wananchi wa USA wanaziitaji sana bidhaa za China.
 
Hakuna wa kumsimamisha Mchina,hao magharibi wenyewe wanambania Mchina lakini wanajuwa kuwa wanahitaji bidhaa zake sababu bei yake ni rafiki.
Hawana tatizo na bidhaa za China, shida walizonazo ni ruzuku ambazo serikali ya china inayapa makampuni ya kichina yanayopelekea bidhaa zao kuwa na bei ndogo kutokana na gharama ndogo za uzalishaji. Yaani unapunguza bei za bidhaa zako ili kuwatoa mchezoni washindani wako, ukishawaua kibiashara, then unapandisha bei kwani tayari sokoni umebaki mwenyewe.
 
Acheni kuandika mambo ya kinadharia ili ufurahishe moyo wako.

Kwa levo ya Chna kiuchumi , kiteknolojia,kiviwanda,kielimu,kibiashara,kijeshi ,kimiundo mbinu hakuna mwenye ubavu wa kuirudisha nyuma tena.
Kama ambavyo china inalihitaji soko la USA na vile vile wananchi wa USA wanaziitaji sana bidhaa za China.
Uchumi wa china Umestuck
 
Marekani alifanikiwa kuwabinya korodani Latin America ikiwemo Mexico ambao ndio tegemeo la china kibiashara kwa sasa china itakua na wakati mgumu sana.

Ulaya inatishia kumuwekea vikwazo China, Marekani anaweka vikwazo, India alishaipiga marufuku China, nchi za Asia kama Malaysia Vietnam na nyinginezo nazo zinapambana na soko lao hivyo China atabakia na Afrika tu.

Sasa Afrika utafanya biashara gani ya maana, purchasing power ni kama sifuri, watu tunataka viatu vya elfu 10 ama 20, nguo za elfu 10 na ishirini.

Anyway muda ni mwalimu mkuu, tusubiri muda utasema.
Changamoto ya Afrika ni hiyo wanataka vitu vya bei nafuu , na mtu hanunui kitu mpaka kilichopo kiharibike au kwisha kabisa

Tofauti na wenzetu hata akishanunua kitu lazima atakibadili baada ya muda fulani
 
Hakuna kitu kama hicho marekani mwenyewe anaitegemea china tatzo marekani imevurugwa na mambo mengi maana kaivuruga Dunia Sasa inamrudi mwenyewe
 
Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu.

Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani taifa la China lisingefika hapo ilipo leo kiuchumi.

Sasa basi, wagombea urais wa vyama vikuu nchini Marekani wana mpango wa kuongeza ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka nchini China kuingia Marekani jambo ambalo litakuwa ni pigo kubwa sana kwa uchumi wa taifa la China na ndio maana China sasa inahaha kuhamishia viwanda vyake nchini Mexico ili watengeneze bidhaa katika nchi hiyo zenye maandishi ya "Made in Mexico" na kuviuza nchini Marekani hali inayoonyesha kwamba bila "Marekani hakuna China."

Takwimu mpya zinaonyesha kuongezeka kwa biashara kati ya China na Mexico wakati wa mazungumzo magumu ya ushuru wakati wa kampeni ya urais. Data ya forodha inaonyesha ongezeko kubwa la malighafi na vipengee kutoka China vinavyoingia Mexico ili kutengenezwa kuwa bidhaa zilizounganishwa kikamilifu ambazo husafirishwa hadi Marekani kupitia reli au kwa malori.

"Tunaona kampuni nyingi zaidi za Kichina zikihamisha vifaa vyao vya uzalishaji kutoka China hadi Mexico," Jordan Dewart, rais na mtaalamu wa vifaa vya kuvuka mpaka Redwood Mexico, aliongeza kuwa vifaa hivi vinatumia kampuni za vifaa za China, ambazo hutoa huduma kama vile ghala. usimamizi wa hesabu, na usafirishaji. "Wanaweza kuleta sehemu zao na malighafi kutoka Uchina na kisha kuzalisha bidhaa huko Mexico kwenye vituo vyao vya Uchina na kisha kusafirisha bidhaa hizo hadi Marekani.

https://www.cnbc.com/2024/09/20/china-mexico-backdoor-trade-booms-in-trump-biden-tariff-era.html
Maisha ya marekani bila mchin ni sifuri
 
Changamoto ya Afrika ni hiyo wanataka vitu vya bei nafuu , na mtu hanunui kitu mpaka kilichopo kiharibike au kwisha kabisa

Tofauti na wenzetu hata akishanunua kitu lazima atakibadili baada ya muda fulani
That's the issue of budget strain chupi zenyewe zinatupwa zikiwa zimetoboka kama wire mash sembuse flat tv
 
Back
Top Bottom