Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Halafu zinanuka choo🤣Aisee zile ngoma ikifika usiku ni balaa, asubuhi unakuta nyasi zote zimelala mtaani kama vile amepita chatu.
Halafu zinanuka choo🤣Aisee zile ngoma ikifika usiku ni balaa, asubuhi unakuta nyasi zote zimelala mtaani kama vile amepita chatu.
Tupe ripoti ya utafiti, mmeishusha hadhi JF, kila uchafu mnauleta huku. Moderators muwe makini na post km hizi wanawaharibia. Msoga ni kijiji tu huu upumbavu ni kwasababu ya Rais wetu mstaafu. Futeni huu upuuziHuku si watoto,si watu wazima wengi wanaishi na VVU tena zile advanced stages (stage 3-4)
Ogopa unaenda hospitali unakuta top ten diseases miongoni mwao ni HIV.
Chanzo ni uzembe na uvivu wa kufanya kazi.Huku si watoto,si watu wazima wengi wanaishi na VVU tena zile advanced stages (stage 3-4)
Ogopa unaenda hospitali unakuta top ten diseases miongoni mwao ni HIV.
😂😂😂Wenyewe wanakwambia figa moja haliivishi chungu lol,Ongeza na mafiga matatu
Wachafu sana hawa watu😂😂😂Wenyewe wanakwambia figa moja haliivishi chungu lol,
Mstaafu yumo katika kundi gani hapo kati ya hao 20?
Hivi kinga Inasaidia kweli?Ni kutumia tu kinga au kuacha ngono kabisa
Lugoba ni balaa na nusuHigh way ya magari makubwa mbegu wanazitoa
Chalinze
Mdaula
Na hapa karibu na Msata
Siunamuona JK mzee wa totoz...ndo wana msoga hao!!.Hii inaonesha wazee wa msoga wanarukaruka sana.Tuwaogope kama ukoma.
Lugoba ni balaa na nusu
Poor Brain dronedrake Mbaga Jr wanangu hawa nawependa sana mnaendeleaje huko buza kwa lulenge?Huku si watoto,si watu wazima wengi wanaishi na VVU tena zile advanced stages (stage 3-4)
Ogopa unaenda hospitali unakuta top ten diseases miongoni mwao ni HIV.
mafiga matatu ndo nini 🤔Ongeza na mafiga matatu
Wanaume watatumafiga matatu ndo nini 🤔
Wapi ambako hakuna ukimwi wa.kutisha hasa pwani hii. Watu washukuru ARV.la sivyoMaisha duni, Chalinze mpaka Kibaha yenyewe ukimwi upo wa kumwaga
😂😂😂😂😂Hakuna kitu naheshimu kama afya yangu mkuu an hakuna kitu na respect kama afya