Katika watu 20 utakao kutana nao msoga 18 wana HIV . Kuweni makini na msoga.

Katika watu 20 utakao kutana nao msoga 18 wana HIV . Kuweni makini na msoga.

Yes ndio hapo nilipasahau jina. Niliishi hapo miezi mitatu gesti inaitwa Matala chumba no 6😂
Hahaha mkuu... miezi mi3, chumba no 6! Watoto wa kikwere hawakukizoea kweli hicho chumba?
 
Kwani yule Bwana yeye ni mzima kweli ninaanza kupata mashaka😄, maana ninamtizamagaa weeee😂
 
Kutopata UKIMWI ni kudra tu za Mungu + kujilinda.
Kuna watu wanaathirika japo si Malaya Wala wazinifu kupita baadhi wasio na UKIMWI.

Siku zote naamini Mungu ni zaidi ya juhudi zangu.
Tuache uzinzi.
Kuathirika na UKIMWI ni kitendo Cha muda mfupi sana na kujiunga katika uzoefu wa maisha mapya kabisa.

Mungu atulinde sana!
 
This life, no balance
 
Kibaya zaidi ni kuwa wanao ambukiza zaidi ni wale tunao waamini Wala si hao tunaokutana nao mtaani, kwasababu kwa tunao waamini unakuta mtu anatembea bila viatu bila tahadhari yoyote.
 
Back
Top Bottom