Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Jana kapiga bonge la show na ngoma zake za zamani watu wanamuelewa sana,ila km wewe hauna marinda lazma umuone jamaa hana akili.
 
Huyo ni bendera fuata upepo. Kuishiwa kuna ya sana, hasa ukiwa huna jinsi ya kujikwamua.
umeona alichokifanya jana? team no marinda lazma mumchukie Konki master
 
Dudu baya aka dudu zuri aka oil chafu aka konki master aka mamba , yaani bongo ni rahisi sana kutoboa , cha muhimu ni kujitoa akili na kufanya matukio ya kipuuzi basi na ndani ya masaa 24 umeshika headlines za nchi nzima
 
Riziki ya mtu hupangwa na Mungu,wewe mwenye akili mbona hukuitwa na hao Wasafi japo upange viti tu jukwaani?
 
Si nasikia katoa wimbo mpya unaitwa "konki konki konki" na una mashabiki kibao.
 
Dudubaya yupo kwenye game kitambo sana,tatizo hivi vidot.com ndio vimemjua siku hizi tu kwenye hili sakata la kutaja mashoga.
 
dudubaya kaanza kuwaponda cloudz before hata wasafi kuwepo. kama hujui ni bora ukauliza
 
Old school tunamuelewa sana,mzee wa amri kumi za Mungu,mwanangu huna nidham nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…