Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

Sijawai kuona mwanaume mwenye mambo ya kipumbavu kama huyu mpuuzi Anayejiita dudu baya,

WCB kumshika mkono huyu mdingi naona amechanganyikiwa kabisa
Kutwa nzima anashinda mtandaoni kutupa vijembe kwa Clouds Media

Mtu mwenyewe aliishafulia kitambo hata sioni anachokiimba eti na yeye anajiita msanii😂😂😂😂😂

Eti nako kadudubaya kanabifu na clouds hivi haka kadudubaya nako kana nini cha kushindana na clouds?

Kanabebwa na diamond halafu kama vile wastafi festival ni yakwake😂😂

Hata diamond mwenyewe hatoi vijembe kwa clouds kwa kasi hivyo kama haka ka dudubaya

Sijui hata huko wasafi festival katakua kanaperform nyimbo gani?

Dudu baya wewe ulikua kwenye game kitambo likakushinda huna hata jambo lolote la maana ulilolifanya saivi umebaki kua mlamba viatu Wa diamond platinum

Nakushauri acha umbea pambana na Hali yako clouds is a big brand

Bumbavu
Jana kapiga bonge la show na ngoma zake za zamani watu wanamuelewa sana,ila km wewe hauna marinda lazma umuone jamaa hana akili.
 
Dudu baya aka dudu zuri aka oil chafu aka konki master aka mamba , yaani bongo ni rahisi sana kutoboa , cha muhimu ni kujitoa akili na kufanya matukio ya kipuuzi basi na ndani ya masaa 24 umeshika headlines za nchi nzima
 
Si nasikia katoa wimbo mpya unaitwa "konki konki konki" na una mashabiki kibao.
 
Dudubaya yupo kwenye game kitambo sana,tatizo hivi vidot.com ndio vimemjua siku hizi tu kwenye hili sakata la kutaja mashoga.
 
dudubaya kaanza kuwaponda cloudz before hata wasafi kuwepo. kama hujui ni bora ukauliza
 
Old school tunamuelewa sana,mzee wa amri kumi za Mungu,mwanangu huna nidham nk
 
Back
Top Bottom