Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Hujui usemalo vinginevyo wewe ni huyo Tale mnayemuita babu wakati sijui hata kama vichanga anavyoAjabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.
Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Unanuka SanaUshuzi wa kunde huu.
Huna lolote la maanaUnaufahamu mchango wa Dr Taletale kwenye industry ya muziki?
Nchi ina mamb ya hovyo sana, na wakazi wake wana mamb ya hovyo kama mtoa mada!!Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.
Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Ila yuko sahihi kuhusu Samia. Udokta Kwa kazi gani? Kwa Urais wa kudondokewa na kisha kukopa bila kujali athali za mikopo?Ningekua na uwezo wa kusafirisha makofi ningekutumia kontena. Yani wiki nzima kila unavyohema unayaoga. Uso ungechanika huo.
Wewe una miliki simu ina akili kuliko wewe!! Inakataa hadi kuandika vilivyonyooka inaweka spelling mistakes bado umo tu.
Ah ndugu, watoto wangu wananihitaji nikiwa haiIla yuko sahihi kuhusu Samia. Udokta Kwa kazi gani? Kwa Urais wa kudondokewa na kisha kukopa bila kujali athali za mikopo?
Tulia atulie, yeye mwenyewe ametumia pesa na bado anaendelea kutumia pesa(kupitia usanii wa Tulia Trust Fund) ili akubalike Mbeya.
Hadithi mfu kabisa.Hizo ni hadithi za vijiweni
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Kweli wananunua. Na wengi wao hawastahili kabisa, kama Msukuma na Abood. Wanaona ni prestige kuitwa maDR. Lakini Taletale hata kama amenunua, anaistahili. Anaistahili kuliko hata Samia na JK
Tulikuwa wengi akina Prof Maji Marefu, Prof Vulata pia kuna Prof J.Hizi PhD za bure naona zimeishaingia mdudu. Inafaa sasa tuanze kununua Uprofesa. Anayehitaji ani DM
Hujaona mziki wa WCB ulivyotutangaza kimataifa? Hujaona watu waliopata ajira kupitia WCB na hata Tip Top? Unaweza usikubaliane na itikadi za Tale, lakini mchango wake ni wa kustahili Phd kabisa.
Mkabidhiano wa rim ya fuso kama kengere, iliyookotwa garage...CCM motoni DIRECTView attachment 2511890
Hayo Unayapata Ccm Pekee Hapa Tanzania, Unajua Wenyewe Huwa Uso Wa Mbuzi Hawana Hata Soni. Hao Wazee Kweli Kwenda Kukabidhi Rim Na Kutoa Taarifa Kwa Umma EtiMkabidhiano wa rim ya fuso kama kengere, iliyookotwa garage...
Kuna mambo yanafurahisha sana...
Aibu sana...Hayo Unayapata Ccm Pekee Hapa Tanzania, Unajua Wenyewe Huwa Uso Wa Mbuzi Hawana Hata Soni. Hao Wazee Kweli Kwenda Kukabidhi Rim Na Kutoa Taarifa Kwa Umma Eti
Mimi Ningekuwa Kiongozi Hao Naagiza Niwakute Mbombo Huko
Punguza ushabiki kidogo na uwe unafanya facts analysis kabla ya kuja na mropoko wako!Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.
Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Ni rim au kengele? HahaaaaHayo Unayapata Ccm Pekee Hapa Tanzania, Unajua Wenyewe Huwa Uso Wa Mbuzi Hawana Hata Soni. Hao Wazee Kweli Kwenda Kukabidhi Rim Na Kutoa Taarifa Kwa Umma Eti
Mimi Ningekuwa Kiongozi Hao Naagiza Niwakute Mbombo Huko
Tale Tale amefanya Transformation gani? Ameinunua hajawa recognized!Nilitak nikutu
Nilitak nikutukane ila haina maan nikakumbuk hizi honorary doctorate hata marekani wakina
1.denzel Washington
2.puff Diddy
3.mark Zuckerberg
4.0prah Winfrey n.k
Wanazo hizi heshima kutok vyuo mbalimbali marekani na nikuelez tu kwamb hii Ni heshima anapewa mtu alieleta changes or transformation in a community
N.b. Hawa watu hapo juu walitunukiwa na vyuo, hawakununua Wala kushinikiza kupewa hzo awards.
Kuwa Rais na kutumikia umma si kigezo cha kupewa digrii ya heshima. Hata watu kama Iddi Amin, Bokassa na Franco Nguema walikuwa viongozi wa nchi. Tena JK aliesema hajui kwa nini nchi yake ni Masikini na ambaye utawala wake ulijaa mafisadi anatakiwa kupokonywa hata ile digrii yake moja.Punguza ushabiki kidogo na uwe unafanya facts analysis kabla ya kuja na mropoko wako!
JK DESEEVES PHD (H)
Kweli unamfananisha Jakaya Kikwete na Babu tale tale kweli?
Kwanza tu kwa Elimu ya kawaida (academic) Babu Tale Tale tale anaweza kumfikia Jk tukiacha umri?
Utumishi wa Taifa kuanzia kuwa Mwanajeshi mpaka cheo Cha Lieutenant kweli unaweza kunifananisha na Tale Tale ambaye hata chipukizi kwenye chama hajapitia tukiacha mafunzo ya mgambo?.
JK amekua DC na waziri katika awamu tofauti tofauti katika nchi hii unamfananisha na Tale tale aliyepewa Ubunge wa mchongo?
Ukiwauliza wasanii ambao manasema babu tale tale ametoa mchango kuwainua watakujibu Role ya JK as a president jinsi gani alivyowapromote na kuwasaidia wasanii ukiacha Hawa wachumia tumbo waliokuja juzi juzi na tungo za kumsifia Mungu mtu! Hata Huyo tale tale anajua mchango wa JK!
Wakati wa utawala wa JK University students tulikua tunaletewa form za kujaza kwamba unataka kufanya kazi mkoa gani baada ya masomo! Babu tale tale alifanya hivyo wapi! Tutamkumbuka Mzee wa Msoga ajira kila mwaka hasa Afya na elimu! Babu tale alizungumzia Nini kuhusu Jiwe kublock ajira kwa miaka Saba!
Mambo Ni mengi tukiandika hayaishi!
Nenda kwenye Nyanja za kimataifa, ujiulize Ni positions zipi amehold na bado anahold kwenye usuluhishi, kilimo, afya na elimu! Dunia inamrecognize Leo mnamfananisha na tale tale ambaye hata hapa mtaani kwangu hawamfahamu Ni Nani!
Madam speaker was right! We can't recognize commercialized PhD. Imeosha