Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

Katika wote waliopata PhD za heshima, hakuna anayeistahili kama Babu Tale

Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.

Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Hujui usemalo vinginevyo wewe ni huyo Tale mnayemuita babu wakati sijui hata kama vichanga anavyo
 
Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.

Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Nchi ina mamb ya hovyo sana, na wakazi wake wana mamb ya hovyo kama mtoa mada!!
 
Ningekua na uwezo wa kusafirisha makofi ningekutumia kontena. Yani wiki nzima kila unavyohema unayaoga. Uso ungechanika huo.

Wewe una miliki simu ina akili kuliko wewe!! Inakataa hadi kuandika vilivyonyooka inaweka spelling mistakes bado umo tu.
Ila yuko sahihi kuhusu Samia. Udokta Kwa kazi gani? Kwa Urais wa kudondokewa na kisha kukopa bila kujali athali za mikopo?
 
Ni uchoyo tu ..wa watanzania. Mtu mwingine ambae tunaweza kumpa heshima hiyo kama ya Taletale kwenye tasnia ya mziki ni SAID KALORI.
Mdada au mama huyu ni moja ya wasanii walioweza kuongoza au kubadirisha msimamo wa wananchi dhidi ya mziki wa kitanzania. Wasanii wengi waliweza kuibuka na kuanza kuimba nyimbo za makibila baada ya Saida Kalori kuonyesha njia.
HONGERA SANA DR. SAIDA KALORI
 
Dkt Tulia Na Zungu Wamekalisha Taletale Chap Hata Mate Hajameza
View attachment 2511903
Tulia atulie, yeye mwenyewe ametumia pesa na bado anaendelea kutumia pesa(kupitia usanii wa Tulia Trust Fund) ili akubalike Mbeya.
Aweke ushahidi wa kuthibitisha nani katumia pesa na nani hajatumia pesa.
Pongezi kwa Dr Taletale kwa kubadili maisha ya vijana wengi ambao kuna uwezekano bila ya akili zake za 'kimtaa' labda wangekuwa majambazi, wasomi wengi ni useless na hawana faida yoyote katika jamii.
 
Kweli wananunua. Na wengi wao hawastahili kabisa, kama Msukuma na Abood. Wanaona ni prestige kuitwa maDR. Lakini Taletale hata kama amenunua, anaistahili. Anaistahili kuliko hata Samia na JK
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hizi PhD za bure naona zimeishaingia mdudu. Inafaa sasa tuanze kununua Uprofesa. Anayehitaji ani DM
Tulikuwa wengi akina Prof Maji Marefu, Prof Vulata pia kuna Prof J.
Ni rahisi zaidi ya unavyofikiri.
 
Hujaona mziki wa WCB ulivyotutangaza kimataifa? Hujaona watu waliopata ajira kupitia WCB na hata Tip Top? Unaweza usikubaliane na itikadi za Tale, lakini mchango wake ni wa kustahili Phd kabisa.

Hahah wcb ndio mfano?
Come on man
Akina master j, majani, prof j na wengineo basi watunikiwe u professor kwa kuwa waasis wa bongo fleva.

Wcb imeleta ajira mikoa mingapi? imetengeneza hospitali? Madaraja? Madarasa? Kuna miundombinu yoyote imeongezeka kutokana na wcb?
Wcb imepunguza kiasi gani tatizo la ajira?
Hizo ni minor success zinye impact ndogo nchi hii.
 
Mkabidhiano wa rim ya fuso kama kengere, iliyookotwa garage...

Kuna mambo yanafurahisha sana...
Hayo Unayapata Ccm Pekee Hapa Tanzania, Unajua Wenyewe Huwa Uso Wa Mbuzi Hawana Hata Soni. Hao Wazee Kweli Kwenda Kukabidhi Rim Na Kutoa Taarifa Kwa Umma Eti

Mimi Ningekuwa Kiongozi Hao Naagiza Niwakute Mbombo Huko
 
Aibu sana...
 
Ajabu anayestahili zaidi kupata PhD ya heshima ndiye anayesakamwa zaidi. Mambo aliuofanya Tale WCB na kwa kina Dogo Janja, anastahili PhD kuliko maprofesa na madoctor wanaopeana huko majalalani.

Hata JK na Samia hawastahili PhD ya heshima kama Dr Taletale.
Punguza ushabiki kidogo na uwe unafanya facts analysis kabla ya kuja na mropoko wako!

JK DESEEVES PHD (H)
Kweli unamfananisha Jakaya Kikwete na Babu tale tale kweli?
Kwanza tu kwa Elimu ya kawaida (academic) Babu Tale Tale tale anaweza kumfikia Jk tukiacha umri?

Utumishi wa Taifa kuanzia kuwa Mwanajeshi mpaka cheo Cha Lieutenant kweli unaweza kunifananisha na Tale Tale ambaye hata chipukizi kwenye chama hajapitia tukiacha mafunzo ya mgambo?.

JK amekua DC na waziri katika awamu tofauti tofauti katika nchi hii unamfananisha na Tale tale aliyepewa Ubunge wa mchongo?

Ukiwauliza wasanii ambao manasema babu tale tale ametoa mchango kuwainua watakujibu Role ya JK as a president jinsi gani alivyowapromote na kuwasaidia wasanii ukiacha Hawa wachumia tumbo waliokuja juzi juzi na tungo za kumsifia Mungu mtu! Hata Huyo tale tale anajua mchango wa JK!

Wakati wa utawala wa JK University students tulikua tunaletewa form za kujaza kwamba unataka kufanya kazi mkoa gani baada ya masomo! Babu tale tale alifanya hivyo wapi! Tutamkumbuka Mzee wa Msoga ajira kila mwaka hasa Afya na elimu! Babu tale alizungumzia Nini kuhusu Jiwe kublock ajira kwa miaka Saba!

Mambo Ni mengi tukiandika hayaishi!

Nenda kwenye Nyanja za kimataifa, ujiulize Ni positions zipi amehold na bado anahold kwenye usuluhishi, kilimo, afya na elimu! Dunia inamrecognize Leo mnamfananisha na tale tale ambaye hata hapa mtaani kwangu hawamfahamu Ni Nani!

Madam speaker was right! We can't recognize commercialized PhD. Imeosha
 
Hayo Unayapata Ccm Pekee Hapa Tanzania, Unajua Wenyewe Huwa Uso Wa Mbuzi Hawana Hata Soni. Hao Wazee Kweli Kwenda Kukabidhi Rim Na Kutoa Taarifa Kwa Umma Eti

Mimi Ningekuwa Kiongozi Hao Naagiza Niwakute Mbombo Huko
Ni rim au kengele? Hahaaaa
 
Nilitak nikutu

Nilitak nikutukane ila haina maan nikakumbuk hizi honorary doctorate hata marekani wakina
1.denzel Washington
2.puff Diddy
3.mark Zuckerberg
4.0prah Winfrey n.k
Wanazo hizi heshima kutok vyuo mbalimbali marekani na nikuelez tu kwamb hii Ni heshima anapewa mtu alieleta changes or transformation in a community
N.b. Hawa watu hapo juu walitunukiwa na vyuo, hawakununua Wala kushinikiza kupewa hzo awards.
Tale Tale amefanya Transformation gani? Ameinunua hajawa recognized!

Bora angepewa P Funk, Ruge au Master J walifanya Transformation ya Muziki sio Hawa wakaa uchi na waimba matusi wa leo! Nyimbo hazifai kuangalia mbele ya watoto na wakwe!
 
Punguza ushabiki kidogo na uwe unafanya facts analysis kabla ya kuja na mropoko wako!

JK DESEEVES PHD (H)
Kweli unamfananisha Jakaya Kikwete na Babu tale tale kweli?
Kwanza tu kwa Elimu ya kawaida (academic) Babu Tale Tale tale anaweza kumfikia Jk tukiacha umri?

Utumishi wa Taifa kuanzia kuwa Mwanajeshi mpaka cheo Cha Lieutenant kweli unaweza kunifananisha na Tale Tale ambaye hata chipukizi kwenye chama hajapitia tukiacha mafunzo ya mgambo?.

JK amekua DC na waziri katika awamu tofauti tofauti katika nchi hii unamfananisha na Tale tale aliyepewa Ubunge wa mchongo?

Ukiwauliza wasanii ambao manasema babu tale tale ametoa mchango kuwainua watakujibu Role ya JK as a president jinsi gani alivyowapromote na kuwasaidia wasanii ukiacha Hawa wachumia tumbo waliokuja juzi juzi na tungo za kumsifia Mungu mtu! Hata Huyo tale tale anajua mchango wa JK!

Wakati wa utawala wa JK University students tulikua tunaletewa form za kujaza kwamba unataka kufanya kazi mkoa gani baada ya masomo! Babu tale tale alifanya hivyo wapi! Tutamkumbuka Mzee wa Msoga ajira kila mwaka hasa Afya na elimu! Babu tale alizungumzia Nini kuhusu Jiwe kublock ajira kwa miaka Saba!

Mambo Ni mengi tukiandika hayaishi!

Nenda kwenye Nyanja za kimataifa, ujiulize Ni positions zipi amehold na bado anahold kwenye usuluhishi, kilimo, afya na elimu! Dunia inamrecognize Leo mnamfananisha na tale tale ambaye hata hapa mtaani kwangu hawamfahamu Ni Nani!

Madam speaker was right! We can't recognize commercialized PhD. Imeosha
Kuwa Rais na kutumikia umma si kigezo cha kupewa digrii ya heshima. Hata watu kama Iddi Amin, Bokassa na Franco Nguema walikuwa viongozi wa nchi. Tena JK aliesema hajui kwa nini nchi yake ni Masikini na ambaye utawala wake ulijaa mafisadi anatakiwa kupokonywa hata ile digrii yake moja.
 
Back
Top Bottom