Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nilisikiliza interview ya Makonda huko Arusha, na moja ya jambo alilojitapa ni kumpatia gari mtangazaji wa Clouds aitwaye Cza.

Na Cza anakiri kwamba alienda Arusha kwa kuitwa na Makonda, na si kwa kupangiwa kazi na ofisi. Naona kuna mradi wa kumtakatisha mtu.

 
naona futuhi imekuja kwa staili ingine
 
Kwamba Koromije hakuna shida ya madarasa, madawati, nyumba za walimu, ada, wagonjwa na wajane?
Shida hazijawahi kuisha mwache kila mmoja afanye anavotaka! Juzi hata Lugumi kampa Chief Godlove milioni 10 unadhani nyumbani kwao Lugumi huko Mwanza wahitaji hawapo!
 
CCM ya leo ni sunche na kapeto
 
MWANAUME KUWA NA WIVU WA KIKE NI UJINGA MWACHEN MAKONDA ACHAPE KAZI ACHEN WIVU WA KIMAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…