Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

Katikati ya kikao Arusha, Makonda atamba kumnunulia Mercedes Benz mtangazaji Cza wa Clouds, alimpigia simu akamchagua aje amuulize maswali

Shida hazijawahi kuisha mwache kila mmoja afanye anavotaka! Juzi hata Lugumi kampa Chief Godlove milioni 10 unadhani nyumbani kwao Lugumi huko Mwanza wahitaji hawapo!
Ndiyo nakwambia hawa wote ni wauza sembe wanajuana, hakuna mtu anaweza kukupa milioni 10 au gari from no where
 
"Brother chunga marinda na hao mapapaa wanaokupa mandinga"

- Nikki Mbishi
 
downloadfile-4.jpg
 
Back
Top Bottom