Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

Na Papa Keshakufa!!!!!!!!!!!!
 
Mwenye waraka wa TEC kukemea na kulaani kupgwa risasi kwa lisu na kuwekwa ndani kwa kabendera auweke pls
 
Mbona hawasemi alio Ben Sanane unafiki mtupu.
 
Safari hii kichaka cha uisilamu kimebuma, na ukimtaja Magufuli kama reference ndio inakula kwako zaidi, maana ushahidi wa RC kumkemea Magufuli upo, hadi akawafanyizia ikiwemo askofu Niwemugizi. Labda mseme mnataka mama Samia afanye kama Magufuli, ili kubalance ubaya wa Magufuli. NRNE.
 

Wewe huna akili!! Jisikitikie kwa hilo.

Ule waraka wa TEC kukemea ugandamizaji wa haki wakati wa utawal wa Magufuli uliandika wewe?

Ule waraka wa KKT kuhusu ugandamizaji wa haki wakati wa utawala wa Magufuli uliandika wewe?

Mtu mzima kama wewe, kuishi kwenye ujinga, unafiki na uwongo kiasi hiki ni laana! Maana sioni kama bado una muda wa kujivua ujinga kuuvaa utu mpya.
 
Na Papa Keshakufa!!!!!!!!!!!!
Labda hufaham vile catholic in functionPapa akifa haimaanish kanisa limekufa, au ukatoliki umekufa, before Pope francis kufa, kulikuwa na watangulizi wake , walikufa pia.

Atachaguliwa mwingine kama kawa dozi itaendelea
 
Magufuli alikuwa mpagani ama? Katoliki haipindishi milele. Ni ruler. Wamenyooka.
 
Tuwe makini sana na CCM.

Kinachofanyika sasa ni kibaya kuliko tunavyofikiria.

Tuanze kukosoana kwa kuangalia maslahi ya Taifa na sio kuangalia anayekosoa ni nani na anayekosolewa ni nani.

Tujikite kuangalia kinachokosolewa ni nini na tuuweke Utanzania mbele.

Hatuwezi kuacha kumkosoa Rais eti kwa sababu ni Muislamu mwenzetu na wanaompigia kelele ni wakristo.
TUWEKE MASLAHI YA NCHI MBELE.

Kinachozungumziwa ni haki na sio vinginevyo, HAKI IPO AU HAIPO? Kinachozungumziwa ni Uchaguzi huru na wa haki JE UCHAGUZI NI KWELI NI HURU NA HAKI?

Lissu alipigwa risasi Rais akiwa MKRISTO mwenzie na haukufanyika uchaguzi, MBOWE alikaa jela Rais akiwa MKRISTO mwenzie.
Zanzibar marehemu Maalim Seif alidhulumiwa kuteswa na kudhulumiwa haki yake MaRais wote walikuwa waislamu wenzie.
 
Turudi kwenye HOJA👈 je hivi 👇 ni sawa?
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hoja ya kijinga kutoka kwa mwislamu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…