DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
siyo kazi ya kanisa, wafanye injili, kuiombea nchi iwe na amani, kwani MUNGU haoni yasiyompendeza mpaka wakatoliki wamkumbushe??Kwa hiyo wafumbie macho maovu yanayoendelea. Makanisani wanakemea wizi (kuiba kura, fedha za umma), wanakemea mauaji ( ya wanasiasa hata raia wema), kushitakiana kwa makosa ya kusingiziwa na baadae wanawaachia (rejea kesi ya mbowe, kesi Slaa, Sasa kesi ya Tundu Lissu) wanakemea kutotenda haki, wawe kanisani au nje ya kanisa. Wanakemea watu kitekwa na kupotezwa na serikali Iko kimywa. Vitendo vinavyoweza kuharibu amani ya nchi.