Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

siyo kazi ya kanisa, wafanye injili, kuiombea nchi iwe na amani, kwani MUNGU haoni yasiyompendeza mpaka wakatoliki wamkumbushe??
 
lakini Wakatoliki haohao walibwabwaja dhidi ya magufuli ambaye ni mkatoliki mwenzao hadi baadhi ya maaskofu kudaiwa kuwa sio raia
Utajichosha sana na hawa watu. Vichwa vyao huwa ni mbele kwa mbele na huwa ni viaziiii.

Wachache wanatumia ujinga huo kuwapiga. mfano check Zanzibar
 
Ww huna akili karibu freemason uwe na akili kubwa kama viongozi wa Dunia
 
Kwani wanasema uongo wewe kilaza wa Samia!
 
TEC wapo sahihi
hawapo sahihi kwa sababu maovu yao wanayafumbia macho na kushabikia siasa, hii inawagawa waumini wa kikristo ndani ya kanisa na wasio wa kristo. Wasihubiri political ideologies zao
 
Mmeshikwa pabaya, safari hii ndio mtajua umuhimu wa shule,
Maaskofu nyie endeleeni kumalizia pasaka, hawa tuachieni sisi tutawapa majibu.
 
hawapo sahihi kwa sababu maovu yao wanayafumbia macho na kushabikia siasa, hii inawagawa waumini wa kikristo ndani ya kanisa na wasio wa kristo. Wasihubiri political ideologies zao
Kilaza mwingine wa Samia huyu hapa!
 
Wakatoliki hao hao ndio waliomsaidia Mwalimu Nyerere kwenda UN kudai Uhuru wa Tanganyika, ndo maana tupo huru.
 
Umesahau ama hufahamu historia ama umeamua kuupindisha ukweli.
Wakatoliki hukemea maovu yoyote wkt wowote.
Wakati wa Magu walikemea mpaka baadhi ya maaskofu wakaambiwa sio raia wa Tanzania.Hukusikia hili ama ulikuwa haujazaliwa?
 
Kwahiyo mkuu unakubali kwamba hao tec wanasema kweli au wanasema urongo mkuu ?, kwa mwaka huu ambao wameamua kusema kitu?
 
Kanisa halijawahi Kaa kimya hoja yako haina mashiko. 2018 ulikuwa hujazaliwa?
Soma sura ya 3 waraka huu 2018. Walivyomshukia muumini wao.
Wanafanya kujizima data kanisa katoliki halina unafki wala uchawa
 
Kilaza mwingine wa Samia huyu hapa!
vilaza mnampambania unpresidential hooligan, in the name of the almighty GOD he will never be.
unakaribishwa, vurumusha matusi zaidi, kwangu ni music

​

 
Waislam kumpinga muislam mwenzao ata kama anakosea kwao sijui ni dhambi hawa ndugu, unafik tu. Zitto kinara, kiongozi akiwa muislam kimya, awe wa pembeni sasaa, atajuta kumjua.
 
vilaza mnampambania unpresidential hooligan, in the name of the almighty GOD he will never be.
unakaribishwa, vurumusha matusi zaidi, kwangu ni music

​

Gaidi unatetea magaidi wenzako! Tendeni haki mpate wokovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…