Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

Pole ,Mrudishe tu kwa huyo x wake , vinginevyo atakuwa anawahudumia wote wawili kwa wakati mmoja .
 
Ngoja kwanza tumalize kumfunga vizuri Sabaya korokoroni na komeo zote asitoke tutarudi
 
Habari zenu wakuu.

Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.

Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.

Hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu nimeanza kuishi nae mwaka 2019 naombeni ushauri wenu wakuu.

NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.
Hiyo message umetumiwa wewe specifically. Wanawake huwa makini mno kwenye eneo hilo

Jiongeze
 
Mimi nikioa, basi muda si mrefu nitaungana na Sabaya Jela kwa mvua ya kutosha
 
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mtaachana
Ukikosea Kuchagua.........Mpaka Baada Ya Miaka....5
 
Habari zenu wakuu.

Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.

Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.

Hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu nimeanza kuishi nae mwaka 2019 naombeni ushauri wenu wakuu.

NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.

Nimepata hasira sana. Hebu nipe namba ya shemeji kwanza. Naona hawa wanawake siku hizi wameanza kutuzoea.
 
Back
Top Bottom