Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

Kama anatumia smartphone na siyo kitochi hajakosea katuma maksudi

Kama kuanzia muanze kuwasiliana kutumia SMS hajawahi kukosea msg basi hata hiyo atakuwa hajakosea katuma maksudi
Case closed
 
Kama anatumia smartphone na siyo kitochi hajakosea katuma maksudi

Kama kuanzia muanze kuwasiliana kutumia SMS hajawahi kukosea msg basi hata hiyo atakuwa hajakosea katuma maksudi
Sure kuna demu wangu alikua na hii tabia anatuma sms ambayo naona kabisa ya mwanaume mwingine badae nikagundua ni anatengeneza niwe na wivu na mimi nikawa siulizi hata kidogo. So ni kweli sometimes hawakosei anatuma kwa dhamira kabisa.
 
DJ mletee livapul VPN uku ukipiga wimbo wa Ndoa ndoana wake Kassim mganga
Cc Liverpool VPN
Asante sanaa ndugu MC...
Asante sanaa ndugu DJ...

Hawa watu tumeshawaonya sanaa ila HAWASIKII.

NGOJA TU YAWAKUTE mpaka AKILI ZIWAKAE VIZURI.

Sijui lini WATAPATA AKILI HAWA WATU.

DJ naomba nirudishe na Single Boy ya Ally Kiba Ft. Lady Jay Dee.

#YNWA
 
Kafanya makusud tu hata hajakosea[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Habari zenu wakuu.

Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.

Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.

Hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu nimeanza kuishi nae mwaka 2019 naombeni ushauri wenu wakuu.

NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.
Trust me huo ujauzito sio wako mzee
 
Mkuu usiwaze Sana, wanawake sometimes huwa wanapenda Sana kuwafurahisha ma ex zao kwa kuwaambia maneno mazuri, mojawapo ya maneno hayo ni kuwaambia ma ex kuwa wamelazimishwa na wazazi kuolewa/kuwa na wewe.
 
Habari zenu wakuu.

Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.

Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.

Hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu nimeanza kuishi nae mwaka 2019 naombeni ushauri wenu wakuu.

NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.
Take it easy Dogo, mchane Live hajakosea huyo kafanya purposely. Alitaka akuumize roho sasa mwambie haachwi MTU hapa, iwe iwavyo mtazeeka wote
 
Unabahati sana kupata hicho kidokezo maana wanawake huwa makin sana kweny mambo ya mesej, kujichangany kama ivyo ni mara chache.
Piga chini tuu huyo hata ukiweza kumrudisha nyumban tena ataendelea kuchat na ex zake mambo ya ovyo kama hayo ni kitu ambach wanaume hatuwez kuvumilia kuona mpenz wako anachat na wanaume mamb ya ovyo kama hayo hata kama amekasirika basi angetulia ila huyo siyo mvumiliv kamtafuta jamaa yake kwaiy mkigomban tu atakuw anaona bora angekuw na jamaa yake wa mwanzo
 
Asante sanaa ndugu MC...
Asante sanaa ndugu DJ...

Hawa watu tumeshawaonya sanaa ila HAWASIKII.

NGOJA TU YAWAKUTE mpaka AKILI ZIWAKAE VIZURI.

Sijui lini WATAPATA AKILI HAWA WATU.

DJ naomba nirudishe na Single Boy ya Ally Kiba Ft. Lady Jay Dee.

#YNWA

[emoji23][emoji23][emoji23]yan Mkuu wew
 
Back
Top Bottom