Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

Kwenye maisha ya ndoa vitu kama hivyo havikwepeki wanaume tumeumbwa kupitia hali ngumu kama hizo we fanya kama hakijatokea kitu
 
Habari zenu wakuu.

Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.

Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma
Ebu tuanzie hapa kwanza, Alipoondoka kwenda kwao ulimfukuza au aliondoka mwenyewe?
 
Wavulana mna tabu sana alaf sifaham kama akili zenu zina akili, endelea kumpenda Tu huyo
 
1. Umri wako kijana
2. Unakaa na mke asiyekupenda?
3. Hii ungeleta kama taarifa baada ya maamuzi kuwa umempiga mvua za miaka 90 kama Sabaya.
4. Kwa ujauzito alonao hata x hatamtaka.

Kwanini wanaume tunaisha hivyo?
Dunia ni pori lenye viumbe wa kila aina, usisite kuingia msituni kusaka mnyama mwingine mwenye nafuu huyo wako ni mkali sana
 
Hapana mkuu huyo jamaa alikuwa nae toka tunaanza.ni kama nilimpora jamaa.
Hili ndio kosa ulilofanya mkuu, kwanini upore demu wa mtu mzee tena unakuta mtu amekaa nae miaka kibao toka usichana usichana we unaibukia kusikojulikana unalokota mama ya watu kibabe kisa una pesa sijui😅😅😅😅😅

Huyo mwanamke ataendelea kutafunwa tu miaka na miaka na huyo Laiboni!
 
Tafuta mwingne huyo sio wako tena
 
Kama anatumia smartphone na siyo kitochi hajakosea katuma maksudi

Kama kuanzia muanze kuwasiliana kutumia SMS hajawahi kukosea msg basi hata hiyo atakuwa hajakosea katuma maksudi
Ila vitochi shikamoo, sitosahau[emoji2297]
 
huwezi kula demu peke yako
 
huwezi kula demu peke yako
Ni sawa lakin inakuw kwa awamu siyo wew ule na mim nije nile hapo hapo ila kama wew unakula na mkazinguan kaja kwang nakula lakin siyo kwa wakat mmoja kwamb wew unakula na mm nakula hii siyo nzur
 
Huyo hajakosea anataka ujue kuwa kama ww unazingua bado kuna watu wanahitaji huduna kwahyo usijione ww ndo viiiiileeeeee..
 
Huyu hajasoma kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…