Katuni ya Simpsons Ilitabiri Kamala kuwa Rais wa Kwanza wa Kike mwaka 2024 tunasuburi Utabiri Utimie

Safari hii wameingia cha kike,hizo Maigizo ni kama yakupanga,hizo cartoon zilitabiri Trump amekufa,kumbuka risasi zilimkosa
Wamefeli vibaya

Trump anawapiga nje ndani Safari hii
 
Kwahiyo unamaana maisha yetu yote haya ni Video Game?!
Mbona tunasemaga kuwa tuna Will Power ya kuamua maisha yetu?!
Standard za akina Rooservelt ,Kennedy nk zimepotea kabisa

Kamala ndo mgombea urais zwazwa kupita wote katika historia ya Marekani!

Katika hilo [uzwazwa], anashindana na Trump.

Trump naye kichwani hamna kitu kabisa.

Viwango vya wagombea urais Marekani vimeshuka sana.
 
Tangu Marekani Ipate Uhuru Haijawahi kutawaliwa na Rais mwanamke
Kutawala kuko huku Kwetu Africa na baadhi ya nchi duniani. Huko kwao Kuna Kiongozi na sio mtawala. Mtawala hukanyaga na/au kubadilisha katiba apendavyo.
 
Kibibi kinaingia white house njia nyeupe
Yetu macho...Duniani ipo kwenye wakati maalum Sana.Kuna Mungu pia nae ana mipango yake... Siamini kama wachawi wakiwa na Jambo lao na MUNGU kwenye same mazingira akawa na Jambo lake kwamba eti lile la wachawi litaprevail sijui..,ngoja tuone.... Ukraine,,, Russia..... Russia plus Iran kuwa na Jambo lao middle east dhidi ya Israel...etc,,,etc etc....Ni nani atakuwa ameandaliwa kuyahandle haya majambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…