Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mh. Kama itakuwa hivyo, basi dunia hii ina codes nyingi sana.Nop Mtunzi alishafariki ila Zilizopo ni Zile zile..Yaani Ukipay attention kwenye Hizo Episode za zamani Unagundua kuwa Waliwahi kutabiri mpaka Mavazi na Muonekano
kamala atakua rais miaka ya 2030March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳
Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..
Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama
View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769
KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
Anza upya kusoma darasa la kwanza.Kuna walimu wazuri na wema kufundisha kiswahili.Ni Kweli!
Ni tatizo langu tangu nikiwa mdogo
Nikiwa nasoma
Ukipewa bendera utaweza?Kamala ndo mgombea urais zwazwa kupita wote katika historia ya Marekani!
Katika hilo [uzwazwa], anashindana na Trump.
Trump naye kichwani hamna kitu kabisa.
Viwango vya wagombea urais Marekani vimeshuka sana.
Hivi Kikishinda Marekani huwa wanasema Chama Kinachotawala au chama Kinachoongoza??Kutawala kuko huku Kwetu Africa na baadhi ya nchi duniani. Huko kwao Kuna Kiongozi na sio mtawala. Mtawala hukanyaga na/au kubadilisha katiba apendavyo.
Sasa hivi nimebakiza Miaka 7 nistaafu Unafikiri Naweza kurudi tena Darasa la Kwanza nikasome??Anza upya kusoma darasa la kwanza.Kuna walimu wazuri na wema kufundisha kiswahili.
Imeandikwa wapi?Ishaandikwa Kamala anashinda na ndio itakua mwisho wa Marekani
Fake news!! Most of them are edited, I wonder how mtu makini kama wewe unaweza potoshwa.Hapana Mwaka Huwa hasemi!
Alipotabiri Kuhusu Corona hakusema Mwaka pia, Alipotabiri Kuhusu Obama hakusema mwaka , alipotabiri Kuhusu Ile ajali ya Bilionea kwenye Nyambizi ya Majini hakusema mwaka, Alipotabiri Kuhusu Trump Kushinda na Kampeni yake ya Maje america Great again hakusema Mwaka!
Alipotabiri kuhusu Perfomance ya Lady gaga hakutaja mwaka..
Ila kutokana na matukio Rangi ya mavazi na mfuatano wa matukio utagundua hasa ni lini..
Tafuta Hiyi series Ipo Mtandaoni na utajionea mwenywe
Unajiandikia tu hata mfumo wa miaka ya uchaguzi wa USA hauujui.kamala atakua rais miaka ya 2030
So Its Edited?Fake news!! Most of them are edited, I wonder how mtu makini kama wewe unaweza potoshwa.
Trump akishinda uchaguzi huu, uchaguzi ujao ataruhusiwa kugombea?So Its Edited?
Tatizo Sumbai unaanzia katikati kusoma 🤣Devil kivip tena??
Na wanasema risk ya kutokea na machafuko baada ya uchaguzi huu wa kesho kutwa hapo ni kubwa hapo USA , almost analysts wote wanasema hivi .Angalia tu, kwa mfano, debate ya John Kennedy na Richard Nixon.
Wale jamaa vichwani walikuwa wazima sana, hususan Richard Nixon.
Wanna bet $1,000.00?Na wanasema risk ya kutokea na machafuko baada ya uchaguzi huu wa kesho kutwa hapo ni kubwa hapo USA , almost analysts wote wanasema hivi .
So mjiandae na civil war ndani ya Marekani kwa mara ya pili tangia mwaka 1776 ,so wale mliopo humo mjiandae
Na hii ndio itakuwa mwanzo wa anguko la hili taifa , Marekani always itaangushwa na internal hostilities na chaos
Mark hii comment
Sio kutabiri mavazi, huyo mama ndio ameamua kwenda sambamba na dressing style ya huyo katuni.Nop Mtunzi alishafariki ila Zilizopo ni Zile zile..Yaani Ukipay attention kwenye Hizo Episode za zamani Unagundua kuwa Waliwahi kutabiri mpaka Mavazi na Muonekano
Hivi Kamala ndio mama yake PDDY ?March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳
Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..
Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama
View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769
KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
Kamala Muhindi PDIDY mwafrika Msomali wapi na wapi 🤣🤣🤣🤣Hivi Kamala ndio mama yake PDDY ?
Vipi mkuu una maoni gani baada ya aliyetabiriwa kupigwa kipigo cha mbwa mwiziNop Mtunzi alishafariki ila Zilizopo ni Zile zile..Yaani Ukipay attention kwenye Hizo Episode za zamani Unagundua kuwa Waliwahi kutabiri mpaka Mavazi na Muonekano