Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

IMG_20180609_064128.jpg
 
Mmeshaanza figisu...masoud ameanza kuchora kipanya tangu enzi za "no internet" na ameendelea kubamba mpk leo
Mkuu
Nakuelewa Sana
Hayo Ya Kuwa Na Vijana Ndiyo Maendeleo Mpaka Stage Hiyo Ya Ofisi
Anaanza Kuwekewa Husda Taratibu Na Wavimba Macho

Mungu Ni Mwema Wakati Wote
 
MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
Shida yetu waTanzania ndio, kuto appreciate kazi za wenzetu, hata Kama kuna vjn wanafanya hiyo kazi still yeye ndio aliwafumbua macho. Roho mbaya zinatusumbua
 
Back
Top Bottom