Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

a51c080bbf3355257165f2a1af6d49b0.jpg

f9b345e0405f370b6e7083d57b9e276d.jpg

9c1ec05eabcef7fdcd3670abb07ae1c7.jpg

cc35f6630b3eeb917ef7b1bf7f2387c8.jpg

343df3a57255f7b5c8d8db623727820e.jpg

ed63e76fecc8233358d73f3416336e5d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli ya mdada akiitwa geto kwa boyfriend work.
A. Leo hata anilazimishe vipi siwezi kubali kufanya mapenzi.
B.lakini ngja ninyoe mavuzi lolote laweza kutokea.

N.B hizo kauli mbili hapo juu za wadada nashndwa kuzitofautisha na kauli za mkulu.

Mama muza ongeza kimpumu ya buku tulewe.
 
Duh mkuu umetumia tafsida ngumu kwa wengi
 
View attachment 1123017
Moja ya watu wanaofikirisha sana akili kila unaposoma au kutazama katuni zake ni huyu mr Kipanya!!huyu jamaa ana iq ya hali ya juu sana.na jambo la kufurahisha katuni zake nyingi ni katika kutoa dira ya tulikotoka,tulipo na tunakoelekea kama taifa....hongera sana KIPANYA
Huyu jamaa tulisha mjadili na tukaafikiana kuwa huyu jamaa sio mwanadamu wa kawaida
 
Huyu jamaa tulisha mjadili na tukaafikiana kuwa huyu jamaa sio mwanadamu wa kawaida
Na katika kikao chetu tulikukabidhi "zawadi na tuzo" ili umkabidhi lakini mpaka leo sijakuona Tibisiii live bali chereko tu....

Kulikoni mkuu...........!
 
Mkulu wetu hapendi kusikia mawazo kama haya wewe mama muuza ongeza kijoti....tunywee
 
Back
Top Bottom