Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Akili kubwa sana imetumika hapo.
Wengi wanaitazama hiyo katuni kujifurahisha... kuna ujumbe mzito sana na wenye kutafakarisha katika mchoro huo..
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Acha ajifariji. Chadema haitakaa ishinde Urais. Wakitaka kushinda basi wapinzani wote waungane watoe jina moja tu la mgombea.
 
Mpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..

Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
Umeeleweka sana mkuu na huu ni wakati wa wapinzani kuutumia vizuri ili hiyo penalt waweze kuitumia kufunga goli maana lango liko wazi
 
Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
 
Back
Top Bottom