Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hajui kuwa Rais akiwa na watendaji wazuri wenye kuwajibika ipasavyo, pongezi huwa zinaelekezwa kwa Rais.Shida yetu waTanzania ndio, kuto appreciate kazi za wenzetu, hata Kama kuna vjn wanafanya hiyo kazi still yeye ndio aliwafumbua macho. Roho mbaya zinatusumbua