Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Shida yetu waTanzania ndio, kuto appreciate kazi za wenzetu, hata Kama kuna vjn wanafanya hiyo kazi still yeye ndio aliwafumbua macho. Roho mbaya zinatusumbua
Hajui kuwa Rais akiwa na watendaji wazuri wenye kuwajibika ipasavyo, pongezi huwa zinaelekezwa kwa Rais.
 
MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
Na wewe anzisha yako kama unaona wepesi
 
MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
Ni brand yake, lazima apewe credit. Bila yeye hao vijana wangepata wapi hizo ajira.
 
Ni Uzi bomba sana....
Ombi kwa Mods, wasiufute Uzi, wakidhani jamaa(Masoud) anatumia nafasi hii kujitangaza..!

Wengi kwa sasa hawana muda wa kumsoma kwenye Magazeti, kupitia hii special thread, angalau tutazipata na kusoma Vibonzo vyake....

Hii itapelekea kujifunza na kuburudisha BONGO...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri sana hili
 
e0d75806351cafa037bda22bdb7130eb.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Bbgggg
 
Back
Top Bottom