Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Ccm kwa sasa imebakia mikononi mwa wachimba kaburi ni muda gani watamaliza kuchimba ili ikazikwe
Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
 
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Lissu anakwenda kupiga penati ...afu kama goalkeeper hayupo vile ....ma kijani hayaamini
 
Inawezeka usiwe mpira halisi na nahisi cha ndimu uliowekwa na jiwe ndani ukiweka kibambi anaumia mpigaji majeraha yanaongezeka.
 
kweli watu tunatafsiri tofauti..

Hapo anayetakiwa kufunga ingawa goli lipo wazi na anyezuia wote wapo hoi...., hence ngoma draw.....
 
Uzuri wa CCM wana uwezo wa kujipanga haraka na kuzuia mashambulizi golini lakini kwa hali iliyopo sasa nafikiri hekima na busara lazima zitawale
 
Ndiyo hapo sasa je Lissu pamoja na kujeruhiwa mwili mzima ataweza kupiga mpira uingie gorini?
Yaani atakuwa na nguvu za kuufikisha mpira gorini?
Lissu anakwenda kupiga penati ...afu kama goalkeeper hayupo vile ....ma kijani hayaamini
 
Chaduma hamuishi kujipa moyo,,enzi za lowasa mlijiapiza msipochukua nchi basi hamtachukua tena,na Mimi nawaambia kuwa chadema ikichukua nchi Mimi najitoa mhanga kwenda kunyea ikulu liwalo na liwe.endeleeni kuota.
Tatizo akili zako bado zipo kwenye ndoto za jana.
Amka dogo hali si salama tena ndani ya ccm
 
Back
Top Bottom