MkuuMmeshaanza figisu...masoud ameanza kuchora kipanya tangu enzi za "no internet" na ameendelea kubamba mpk leo
Shida yetu waTanzania ndio, kuto appreciate kazi za wenzetu, hata Kama kuna vjn wanafanya hiyo kazi still yeye ndio aliwafumbua macho. Roho mbaya zinatusumbuaMSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.