DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwani kuna aliyesema picha inalengo baya? Au tafsiri ndio inakupa shida?Hii PCHA inalengo nzurii
Sasa kuna watu wanapenda upinzani uwe na nguvu, na wanaponda kuwa upinzani ni dhaifu. Je, ni mtanzania gani anapaswa kuwa mpinzani? Hilo ni jukumu la nani? Au tu wafuata upepo? Ipo shida hapa.Wapinzani wa hii nchi hawako serious, kwahiyo acheni tu tuongoze ingawa napenda upinzani uwepo maana kwa sasa imekuwa 'kuwa ccm basi lazima kusema ndiyo mzee kwa kila kitu' wakati haikutakiwa iwe hivyo.
Jamani naomba muulize,hivi hii kazi ya kumuondoa huyu adui na mtesi wetu ccm ni ya wapinzani tu sisi wengine haituhusu?Mpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..
Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
Mpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..
Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
Upinzani pekee Tanzania utatoka ndani ya ccm-nyerere.......ndo prophecy inakaribia timia nn
Chadema bado ipo??
Mkuu subiri wana ccm wakushukie kama mwewe...Ccm ishajifia bado kuzikwa
Hahahahhaha kuna mtu leo asubuhi amekumbushwa kutembea uchi daslama nzma hii...mwingine akojoe mpk tunduma. Never say never. Internet haisahau.Chaduma hamuishi kujipa moyo,,enzi za lowasa mlijiapiza msipochukua nchi basi hamtachukua tena,na Mimi nawaambia kuwa chadema ikichukua nchi Mimi najitoa mhanga kwenda kunyea ikulu liwalo na liwe.endeleeni kuota.
Mbona kaifanya Chadema cha Lissu Lissu pekee, yeye ndiye mwenye kutembea kwa magongoMsanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.
Lawama zote kwa John
Mbona kaifanya Chadema cha Lissu Lissu pekee, yeye ndiye mwenye kutembea kwa magongo
Upinzani kuchukua kiti cha uraisi labda vita vya tatu vya dunia kuisha