Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Shirika La Wachochea Kuni Tanzania [SHIWAKUTA] Linapenda Kuwapongeza Wanachama Wake Kwa Kazi Kubwa Ya Kuchochea Moto Waliyoifanya Mpaka Sasa! Hata Hivyo Shirika Linawakumbusha Wanachama Wake Kutosahau Kuongeza Kuni Na Kuchochea Ili Moto Uwake Zaidi.

Diasporajay

Katibu Mwenezi SHIWAKUTA
 
Wapinzani wa hii nchi hawako serious, kwahiyo acheni tu tuongoze ingawa napenda upinzani uwepo maana kwa sasa imekuwa 'kuwa ccm basi lazima kusema ndiyo mzee kwa kila kitu' wakati haikutakiwa iwe hivyo.
Sasa kuna watu wanapenda upinzani uwe na nguvu, na wanaponda kuwa upinzani ni dhaifu. Je, ni mtanzania gani anapaswa kuwa mpinzani? Hilo ni jukumu la nani? Au tu wafuata upepo? Ipo shida hapa.
 
Kipanya hata angeutoa kabisa huo ukuta wa kijani bado huyo mpigaji hawezi kufunga.

Mnajua kwa nini hajamuonesha refa wala linesman?

Kule kwenye VAR mnamjua aliyepo?
 
Watu hamjaelewa hii katuni, ni kwamba kupitia mgogoro huu wa wana ccm unatoa nafasi kwa chadema kupata ushindi tatizo hawana hali wapo hoi taabani miguu yoote ni mibovu hivo hata fursa hii adhimu bado kwao kutimiza azma ya ushindi wao!!
 
Mpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..

Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
Jamani naomba muulize,hivi hii kazi ya kumuondoa huyu adui na mtesi wetu ccm ni ya wapinzani tu sisi wengine haituhusu?
 
Ujasiri upi mkuu mbele ya bullet na dola?
Mpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..

Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
 
Chaduma hamuishi kujipa moyo,,enzi za lowasa mlijiapiza msipochukua nchi basi hamtachukua tena,na Mimi nawaambia kuwa chadema ikichukua nchi Mimi najitoa mhanga kwenda kunyea ikulu liwalo na liwe.endeleeni kuota.
Hahahahhaha kuna mtu leo asubuhi amekumbushwa kutembea uchi daslama nzma hii...mwingine akojoe mpk tunduma. Never say never. Internet haisahau.
 
Upinzani kuchukua kiti cha uraisi labda vita vya tatu vya dunia kuisha
 
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.

Lawama zote kwa John
 
Kwa miaka yote mpenda mageuzi wa Kweli hawezi kujisahu kisa migogoro ya chama tawala
Kwa wale wapenda mabadiliko wenzangu nchini, udhaifu, migogoro na ubaya wa CCM kamwe hautufanyi sisi kuwa imara, Hayo ni yao ndani ya Chama chao. Tushugulike na mambo serious ya Taifa. Uchumi ,Demokrasia , Utawala bora na Uhuru wa kujieleza.

Lawama zote kwa John
 
Tatizo uwezo wako wa kufikiri unatia mashaka sana na watu kama nyinyi ndiyo chaguo la kwanza la jiwe
Mbona kaifanya Chadema cha Lissu Lissu pekee, yeye ndiye mwenye kutembea kwa magongo
 
Back
Top Bottom