Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Ukishaudhibiti upinzani uliopo kisheria basi unaotesha upinzani invisible...huo ndiyo hatari mno...
Duuuh ! Upinzani huoni pembeni hapo na bakuli la omba omba !?
 
Angalia mchoro vyema, CCM inapambana na kivuli chake
 
Uwezo wako wakuelewa nifinyu sana, pole!
 
Asalaam Aleykhum wa rahmatu'llah Wabarakatul

Mimi ni mfuatiliaji sana wa katuni za Masoud Kipanya tangu nikiwa mdogo mpaka sasa.

Huyu bwana mimi picha zake zipo ninazozielewa na zingine Wallah yanipa tabu kung'amua mie, mana bwana huyu kwa mafumbo nae hajambo sheikh.

Kibaraka wa Mbowe & Co zile dili alizokuwa akipiga wakati ule sasa zimeota mbawa,ndio maana anatoa stress kwa kutumia katuni zake
 
Kibaraka wa Mbowe & Co zile dili alizokuwa akipiga wakati ule sasa zimeota mbawa,ndio maana anatoa stress kwa kutumia katuni zake
Mbowe tena, Kp anakazi yake huyo ikiwa ni pamoja na kupima kina cha maji.
 
Bado hata sijaona umuhimu wa hizo id. Ni kama hawajui ni kwanini wamezitoa. Mtu ana ID akitaka passport anaambiwa tena alete Affidavit ya mzazi, sasa sijui walitumia kigezo gani kukupa ID kama hawana uhakika na uraia wako.
 
Uko sahihi mkuu, Kwa Kweli hata mimi nilikuwa nategemea kuwa hizo ID zitamaliza mambo mengi yasiyo ya lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…