Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Duuuh ! Upinzani huoni pembeni hapo na bakuli la omba omba !?Ukishaudhibiti upinzani uliopo kisheria basi unaotesha upinzani invisible...huo ndiyo hatari mno...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh ! Upinzani huoni pembeni hapo na bakuli la omba omba !?Ukishaudhibiti upinzani uliopo kisheria basi unaotesha upinzani invisible...huo ndiyo hatari mno...
Angalia mchoro vyema, CCM inapambana na kivuli chakeView attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...
Kiufupi chama cha upinzani cha buluu, nyekundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani katika vyama na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana.
View attachment 1243908

Aah kwani kipanya kaanza lini kuchora katuni? Ulichokisema hakiusiani kabisa na uchoraji wa katuni zake.Kibaraka wa Mbowe & Co zile dili alizokuwa akipiga wakati ule sasa zimeota mbawa,ndio maana anatoa stress kwa kutumia katuni zake
Mbowe tena, Kp anakazi yake huyo ikiwa ni pamoja na kupima kina cha maji.Kibaraka wa Mbowe & Co zile dili alizokuwa akipiga wakati ule sasa zimeota mbawa,ndio maana anatoa stress kwa kutumia katuni zake
Form four wanafanya mitihani shule zimefungwa kwa mudaKibaraka wa Mbowe & Co zile dili alizokuwa akipiga wakati ule sasa zimeota mbawa,ndio maana anatoa stress kwa kutumia katuni zake
Isipokuwa akitwanga ufipaHuyu jamaa mimi namkubali sana, yupo very realistic.
Unamaanisha nini mkuu?.Isipokuwa akitwanga ufipa
Watakuja mkuu na povu we subiri.[emoji3][emoji3][emoji3]Isipokuwa akitwanga ufipa
Kweli aisee jamaa yupo vizuri ktk fasihi.Gifted brother, namkubali sana na huyu jamaa inaonekana ana akili sana.
Uko sahihi mkuu, Kwa Kweli hata mimi nilikuwa nategemea kuwa hizo ID zitamaliza mambo mengi yasiyo ya lazima.Bado hata sijaona umuhimu wa hizo id. Ni kama hawajui ni kwanini wamezitoa. Mtu ana ID akitaka passport anaambiwa tena alete Affidavit ya mzazi, sasa sijui walitumia kigezo gani kukupa ID kama hawana uhakika na uraia wako.