Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Ukishaudhibiti upinzani uliopo kisheria basi unaotesha upinzani invisible...huo ndiyo hatari mno...
Duuuh ! Upinzani huoni pembeni hapo na bakuli la omba omba !?
 
View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu, nyekundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani katika vyama na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana.
Angalia mchoro vyema, CCM inapambana na kivuli chake
 
Uwezo wako wakuelewa nifinyu sana, pole!
View attachment 1243908
Dongo gizani.... Wasio na vyama wana nguvu ya kupambana na chama dolla kuliko chama kikuu cha upinzani...

Kiufupi chama cha upinzani cha buluu, nyekundu na waiti kime nywea, kwisha habari.... Kupelekea chama dola kukosa mpinzani katika vyama na kuelekeza nguvu kwa wapinzani wasio julikana.
 
Asalaam Aleykhum wa rahmatu'llah Wabarakatul

Mimi ni mfuatiliaji sana wa katuni za Masoud Kipanya tangu nikiwa mdogo mpaka sasa.

Huyu bwana mimi picha zake zipo ninazozielewa na zingine Wallah yanipa tabu kung'amua mie, mana bwana huyu kwa mafumbo nae hajambo sheikh.

EG09xl3XYAAUGhT.jpeg
EHDkxfYX0AAucR-.jpeg
EF2JAMJXYAEs3mt.jpeg
EF7gMubXkAAX3lp.jpeg
 
Kibaraka wa Mbowe & Co zile dili alizokuwa akipiga wakati ule sasa zimeota mbawa,ndio maana anatoa stress kwa kutumia katuni zake
 
Mbowe tena, Kp anakazi yake huyo ikiwa ni pamoja na kupima kina cha maji.
 
Bado hata sijaona umuhimu wa hizo id. Ni kama hawajui ni kwanini wamezitoa. Mtu ana ID akitaka passport anaambiwa tena alete Affidavit ya mzazi, sasa sijui walitumia kigezo gani kukupa ID kama hawana uhakika na uraia wako.
 
Uko sahihi mkuu, Kwa Kweli hata mimi nilikuwa nategemea kuwa hizo ID zitamaliza mambo mengi yasiyo ya lazima.
 
Back
Top Bottom