Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
The most politicized police force in the world!!!!!
Nadhani tumemuelewa [emoji23]View attachment 1267207
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tumemuelewa [emoji23]View attachment 1267207
Nzory, sijamuelewa kusema kweli.
Yaani hata ukichukua tukio hawatalifanyia kazi watakwambia kuwa sura haionekani vizuriNzory, sijamuelewa kusema kweli.
[emoji13][emoji13][emoji13]we asiye jipenda Huyo nani?
asante sana. Kama la Lisu anasema "uharo" namna hii, hili kweli ndilo atalifanyia kazi...Yaani hata ukichukua tukio hawatalifanyia kazi watakwambia kuwa sura haionekani vizuri
Huwa wanawafunga pingu kwanza halafu ndo wanaanza kujibizana kwa risasi na wakishauwa wanawafungua tenaSijawahi kuamini kazi za polisi, hasa pale wanaposema ktk kujibizana risasi na majambazi, majambazi 9 wameuawa bila hata pilisi kujeruhiwa,
🤣 jamaa yupo outdated saana , labda afatilie hiyo tarehe kulikuwa na tukio gani linatrend nchiniUkumbushwe nini
Ukumbushwe nini
[emoji1787] jamaa yupo outdated saana , labda afatilie hiyo tarehe kulikuwa na tukio gani linatrend nchini
Mkuu huyu ni beberu I hope (anammaanisha yule mkulima aliyeikamata ndege yetu) anaonesha ubabe.
🙌 🙌beberu I hope
wanaharakati wa tizii ni wachumia tumbo tu
Kwani uongo alichosema Kipanya!?...
Demokrasia ni jambo lililofeli Afrika nzima!. Sio kwa nchi masikini kama Zimbawe ni mpaka nchi tajiri kama Misri/SouthAfrika kote imefeli!!..
sio kweli!.Siyo Afrika tu, karibia Dunia nzima ni hivyo.