Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Sijawahi kuamini kazi za polisi, hasa pale wanaposema ktk kujibizana risasi na majambazi, majambazi 9 wameuawa bila hata pilisi kujeruhiwa,
 
Sijawahi kuamini kazi za polisi, hasa pale wanaposema ktk kujibizana risasi na majambazi, majambazi 9 wameuawa bila hata pilisi kujeruhiwa,
Huwa wanawafunga pingu kwanza halafu ndo wanaanza kujibizana kwa risasi na wakishauwa wanawafungua tena
 
Wana jamvi amani iwe kwenu, ijumaa ya leo naomba mwenye kumbukumbu mzuri atukumbushe uhusiano wa hii picha ya kipanya na matukio halisi.
Screenshot_20191122-093850.jpeg
 
Kwani uongo alichosema Kipanya!?...
Demokrasia ni jambo lililofeli Afrika nzima!. Sio kwa nchi masikini kama Zimbawe ni mpaka nchi tajiri kama Misri/SouthAfrika kote imefeli!!..
 
Kwani uongo alichosema Kipanya!?...
Demokrasia ni jambo lililofeli Afrika nzima!. Sio kwa nchi masikini kama Zimbawe ni mpaka nchi tajiri kama Misri/SouthAfrika kote imefeli!!..

Siyo Afrika tu, karibia Dunia nzima ni hivyo.
 
Siyo Afrika tu, karibia Dunia nzima ni hivyo.
sio kweli!.
USA, UK, Spain, Germany, Japan, France, Greece etc hawana matatizo ya demokrasia ni mengine tu ya kiuchumi/kijamii sio demokrasia!!
 
Back
Top Bottom