Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

Embu kwanza useme mlianzaje anzaje mpaka kufikia huko...... Usikute na wewe uliropoka maneno ya mauzi
 
Kwa maneno wenzio tunayokutana nayo wewe una afadhal mara 10000... Acha utoto mkuu tulia nae tena mna watoto eb kuwa mwanaume vingine potezea sio vya kukomalia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio umempa ukweli mchungu bro

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hapa unataka tukushauri nini? Jiongeze mwenyewe.
 
Kwa ufupi tu alikuambia wewe huna akili mkuu na hauna hadhi ya kuwa nae.

Najua inauma ila isiwe sababu ya kwenda kuivunja ndoa yako.
Daaaa🤣🤣🤣🤣watu mnajua kukatisha tamaa
 
Hiyo ni ishara ya kuachana, wakati wewe unawaza watoto wako wataishije ukimwacha, mwenzako anawaza ni bora haachane na wewe ili akaishi ba type yake ili watoto wafurahie maisha, hivyo unapaswa kutambua mwanamke akiamua kufanya maamuzi huwa haangalii nyuma ,haangalii wema ulio mtendea wala sijui watoto. Chukua tahadhari kwa kufanya yaguatayo
1: usimwamini sana ,kwa sababu ameshaingiwa na roho ya tamaa ya kutaka maisha mazuri na ya kifahari, hivyo yupo tayari kuuwa huyo ili akampate huyo au hao anao amini wana akili kukuzidi wewe.
2: kimtokacho mdomoni ndicho kilichopo moyoni mwake, na wahenga walisema mtu akiwa na hasira ndio huropoka yaliyopo moyoni kwa maana nyingine huongea ya ukweli haaminishi, ndio tunaambiwa kufunga midomo wakati tukiwa na hasira, hivyo anza kujiandaa kisaikoljia mapema kwamba ipo siku utaachwa, na hao watoto unao wafikiria utakuwa na lolote LA kufanya, kwa sababu unaweza usiache kwa kufikiria watoto lakini kuna kuachwa pia , je huyo mwenzako ana mawazo kama yako ya kufikiria watoto kama wewe.
3: Usimshirikishe katika mipango yako ya maendeleo, ili siku ikitokea usiumie sana, Hilo ni jambo la kushukuru Mungu kaamua kukuonyesha mapema huko mbele nini kinaweza kutokea.Hivyo ishi kwa tahadhari.
4: Mwanamke uwezo wake wa kuona mbali ni mdogo mno ,hivyo usishindane naye, wewe una nafasi kubwa ya kufanikiwa na kumzidi yeye kuliko yeye anavyofikiri kwamba ana akili kuliko wewe, si unaona hata humu maofisni walivyokosa ubunifu na kutegemea tuwasaidie
5: Siku ukipata uhamisho kurudi Mbinga Kigomsera au Kigombi ndio atakuambia huko ndiko kunakufaa zaidi . na yeye hatakuballi kurudi huko, hivyo fikiria hivi Leo ukipata matatzo ya kikazi au ulemavu huyo uliyenaye ataebdelea kuwa na wewe na kukuvumilia au atakukimbia, . ukipata jibu lifanyie kazi na litafutie solution mapema.
6: unapaswa kutambua si kila aliyeaxhana na make wake alipenda ,ila mazungira kama hayo , dharau zikizidi ndani ya nyumba , mtu anaamua ni bora nianze upya maisha ,kuliko kuwa na mwisho mbaya
 
Wengi hawalijui hili kwamba shetani still bado ajakaa mbali na Eva,hata wale wabwatukaji masikini uuliwa,upigwa bure kwa uropokaji wao sababu ya shetani
 
Huna mke hapo. Achana naye mapema kabla hajakupa dhoruba Kali la KIKE.
Usijali utapata mwingine kaka
 
Umenena kweli,Hawa viumbe acha tu waendelee kuwatajirisha mitume na manabii ikiwemo kukanyagishwa mafuta ya urejesho wa mume,ndoa huwa na thamani kwao baada ya kuachwa.
Uoni wamejaa kwa mtume wao wengi wale walizichezea ndoa zao,wakiamini wataweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…