GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Na wewe ungemjibu hivyo hivyo, halafu ukaendelea na maisha kama kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa...Mimi binafsi kwa venye ningemfanya walah Angenifafanulia kuhusu hio kauli yeye mwenyewe...Umetoa wapi muda wa kuja kupost huku hivyo umeshindwa hata kufanya maamuzi juu ya hilo..??
Ila watu tunatofautiana sana aisee
Hata kama mna watoto inawezekana kuachana.KAMA UMEFUNGA NAE NDOA YA KIISLAAM...NA HAMNA MTOTO BADO...ACHANA NAE OA MWINGINE...
KUNA ANAOWAONA NI TYPE YAKE BAADA YA KUJA MJINI...MWACHE AENDE...
Dah mkuu umenipiga penye mshono hiyo kauli niliambiwa jana mpaka najiuliza kwanini anayasema haya kipindi hiki ambacho sina kazi mbona nilipokuwa kazini hakuyasema haya,M/MUNGU atusaidie sana wanaume tulio ktk ndoaNi vile tu huyo mwanamke ameamua kuwa jasiri akayatoa yaliyojificha moyoni mwake bila kumumunya maneno.
Wengi waliopo kwenye ndoa Leo wangeulizwa endapo itatokea nafasi ya kuvunja mahusiano wakawa huru waamue kuanzisha upya mahusiano, wachache sana wangekubali kuendelea na wapenzi wao walionao Sasa hivi.
Pia wapo wengi wanaotamani kurudi kwa wapenzi wao. Mpenzi ajaye ni bora kuliko aliyopo mpaka anapofika.Ni vile tu huyo mwanamke ameamua kuwa jasiri akayatoa yaliyojificha moyoni mwake bila kumumunya maneno.
Wengi waliopo kwenye ndoa Leo wangeulizwa endapo itatokea nafasi ya kuvunja mahusiano wakawa huru waamue kuanzisha upya mahusiano, wachache sana wangekubali kuendelea na wapenzi wao walionao Sasa hivi.
Hawa viumbe huwa hawana siri, asipoongea kwa mdomo ataongea kwa vitendo au hisia.Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja tuliweza kufunga ndoa, na baada ya miaka mitatu ya ndoa tukaweza kuhamia Jijini Dar es salaam.
Sasa siku moja ilikua ni weekend tupo nyumbani mke wangu aliniambia hivi, mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Sasa tangu hapo nimekuwa nikiwaza sana sipati jibu, nawaza nifanyeje,? Najiuliza je yupo anayempenda kwa dhati? Na je anapanga Nini? Je kubaki nami mpaka Sasa ni kwasababu ya kiapo Cha ndoa tu? yani sielewi, mawazo yenu ndugu zangu.
Dah mkuu umenipiga penye mshono hiyo kauli niliambiwa jana mpaka najiuliza kwanini anayasema haya kipindi hiki ambacho sina kazi mbona nilipokuwa kazini hakuyasema haya,M/MUNGU atusaidie sana wanaume tulio ktk ndoa
Japo nawe ulishindwa kufanya maamuzi pale kwenye s pool🤣🤣🤣Umetoa wapi muda wa kuja kupost huku hivyo umeshindwa hata kufanya maamuzi juu ya hilo..??
Ila watu tunatofautiana sana aisee
Wanasemaga kuwa mke wa mtu ni mtamu akiwa kwa mmewe, akiachwa kila mtu anamkimbiaAlishachapwa tayari na watu wa Dar wakati anaonyeshwa mjini. Lakini watamdampo tu
Say more prophetWhen a woman outlearns a man she leaves him.
Mbona rahisi tu hiyo, anamaanisha umeokota dodo chini ya mnazi akili zilikuwa zimelala, hamaanishi saizi zimeamka hapana yuko katika Hali ya kujuta maana hata kama zikiamka Hana option jua limeshazama makeup haikai vizuriHabari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja tuliweza kufunga ndoa, na baada ya miaka mitatu ya ndoa tukaweza kuhamia Jijini Dar es salaam.
Sasa siku moja ilikua ni weekend tupo nyumbani mke wangu aliniambia hivi, mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Sasa tangu hapo nimekuwa nikiwaza sana sipati jibu, nawaza nifanyeje,? Najiuliza je yupo anayempenda kwa dhati? Na je anapanga Nini? Je kubaki nami mpaka Sasa ni kwasababu ya kiapo Cha ndoa tu? yani sielewi, mawazo yenu ndugu zangu.
🤛😅😅😅 Dah aseeeh mahusiano Khumamayo kabisa
Aiseh Pole sana hapo mke hauna sa hv umebaki na kiburudisho tu.Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja tuliweza kufunga ndoa, na baada ya miaka mitatu ya ndoa tukaweza kuhamia Jijini Dar es salaam.
Sasa siku moja ilikua ni weekend tupo nyumbani mke wangu aliniambia hivi, mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Sasa tangu hapo nimekuwa nikiwaza sana sipati jibu, nawaza nifanyeje,? Najiuliza je yupo anayempenda kwa dhati? Na je anapanga Nini? Je kubaki nami mpaka Sasa ni kwasababu ya kiapo Cha ndoa tu? yani sielewi, mawazo yenu ndugu zangu.
Toa way forward sasa amwache au aendelee nae?Nadhani ukiwa mbinga hadhi yako ilionekana kuwa juu. Sasa kaja DSM anaona wadosi wengi..watu wana makumba na magari ya kifahari, wanakula bata...anatamani kama angekuwa na yeye hivyo....anadhani kiwa angekuwa Dar angeweza kuolewa na mmoja ya hao ma don.
Usichanganyikiwe wala usijisikie vibaya. Wanawake ni watu wa kufanya comparison, wanapenda kulinganisha maisha yao na ya wengine...hawaridhiki na maisha kwani wao hupenda mashindano na kujionyesha.
Na wakati mwingine wana kauli za kuudhi..kama hizo ambazo huwa wanaropoka bila kujua madhara yake...
Utasikia, wewe naye ni mwanaume...wakiita wanaume na wewe utaenda...huna akili, angalia wenzako wenye akili wanavyofanya....n.k. Maneno kama haya ni kawaida sana sana..hata uwe umefanikiwa kiasi gani bado watakulinganisha na walio kuzidi na kukutolea maneno.
Wala usipaniki kila mwanaume anapitia unanyanyasaji huo..hadi tumezoea. Isikuumize kichwa.