Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja tuliweza kufunga ndoa, na baada ya miaka mitatu ya ndoa tukaweza kuhamia Jijini Dar es salaam.
Sasa siku moja ilikua ni weekend tupo nyumbani mke wangu aliniambia hivi, mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Sasa tangu hapo nimekuwa nikiwaza sana sipati jibu, nawaza nifanyeje,? Najiuliza je yupo anayempenda kwa dhati? Na je anapanga Nini? Je kubaki nami mpaka Sasa ni kwasababu ya kiapo Cha ndoa tu? yani sielewi, mawazo yenu ndugu zangu.
Kabisaa yaan mpk nimeshangaaaa...na ushauri wa humuu mwingii Ni muache mkeo muachee akufaii..sijui huyo Malaya nk...hivi unafikiri ndoaa mnaachana kirahisi hivyooo?..halafu piaa hata hatujui upande wa pili..yawezekanaaa muktadhaa wa mazungumzo yaoo ulipelekeaa hiyoo kaulii...kwa mwenendoo huu vijana mna safari ndefu Sana kwenye suala zima la ndoaaa...Ndoa si lelemama ndoa inahitaji ukomavu wa akili pamoja na kumtanguliza Mungu mbelee..Na vile mkishakuwaa na familiaa mnatakiwaa kuacha ubinafsi wa kuangalia furaha zenu ili muweze kuwakuzaa watoto vema pasipo utengano wa wazazi..Ndoa ni zaidi ya tendo lenyewee.Siku hizi imekuwa kawaida kwa vijana kuja kuweka hadharani mijadala wanayofanya na wake zao wakiwa vyumbani mwao halafu wanakuja kutaka maoni ya akina sisi ambavyo hayatuhusu na wala hatujui mambo yanaendelea vipi huko nyumbani. Ni sawa na mtu kukuonyesha clip ya mjadala halafu anataka maoni yenu.
Hivi hii dunia ya kisasa ikoje? kwani mpaka kila siri ya nyumbani uilete kwenye mitandao kwa mjadala? Matokeo yake unaambia 'huyo hakufai', 'mwache' ... kitu ammbacho kinakufanya uchanganyikiwe wakati pengine bado unampenda mwenza wako.
Imefika muda sasa tuone madhara ya haya mambo na kuwa na umakini nayo.
Kuna mwamba anampakua shitukaHabari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja tuliweza kufunga ndoa, na baada ya miaka mitatu ya ndoa tukaweza kuhamia Jijini Dar es salaam.
Sasa siku moja ilikua ni weekend tupo nyumbani mke wangu aliniambia hivi, mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Sasa tangu hapo nimekuwa nikiwaza sana sipati jibu, nawaza nifanyeje,? Najiuliza je yupo anayempenda kwa dhati? Na je anapanga Nini? Je kubaki nami mpaka Sasa ni kwasababu ya kiapo Cha ndoa tu? yani sielewi, mawazo yenu ndugu zangu.
Dada mwenzako unamuumiza kakutoa kwenu kijijini sitimbi miguu ilikua na magaga kibao leo umekua mrembo na Jiji letu umelihua unataka kumtabisha mwenzakoUmetoa wapi muda wa kuja kupost huku hivyo umeshindwa hata kufanya maamuzi juu ya hilo..??
Ila watu tunatofautiana sana aisee
Amka usingizini wewe mwanamke aishi kwa mwanaume heti kwa sababu ya ndoa,wapo vijana wanakumegea tonge lakoHabari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani.
Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja tuliweza kufunga ndoa, na baada ya miaka mitatu ya ndoa tukaweza kuhamia Jijini Dar es salaam.
Sasa siku moja ilikua ni weekend tupo nyumbani mke wangu aliniambia hivi, mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Sasa tangu hapo nimekuwa nikiwaza sana sipati jibu, nawaza nifanyeje,? Najiuliza je yupo anayempenda kwa dhati? Na je anapanga Nini? Je kubaki nami mpaka Sasa ni kwasababu ya kiapo Cha ndoa tu? yani sielewi, mawazo yenu ndugu zangu.
Dawa yake mludishe kijijini akitaka kuja dar aje mwenyeweTuliangalie kwenye muktadha mwingine.Naona kama ni utani ambao sio wa kuutilia manani.
Endelea kumpenda tuu aelewe kwamba ulimanisha ulivyoamua kumuoa.kauli zingine huwa shetani anaziingiza kwa wenza ili kuharibu utulivu.
Kama amekuchoka,vitendo ndiyo vingeongea
Bora arudishe kijiji akitaka aje dar yeye kama yeye aone mziki wakeTokeni haraka mjini mrudi huko vijijini kabla bomu halijalipuka