Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ushauri wa mwakaTokeni haraka mjini mrudi huko vijijini kabla bomu halijalipuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri wa mwakaTokeni haraka mjini mrudi huko vijijini kabla bomu halijalipuka
Demu Hana msimamo kabisa yaani[emoji23]Kiufupi inaonekana ameshapata exposure ya kutosha na akikuweka kwenye mizani kulinganisha na vijana wenzio wa rika lako wanaomtongoz tongoza hapa mjini unaonekana uko nyuma sana kwa kila kitu, kifedha, kiusafiri, spending pattern yako.
Ila kwa kipindi kile kule Mbinga wewe ndio ulikuwa top of the class ya wanaume aliowahi kutoka nao coz wengi walikuwa wachimba chumvi tu.
Stay alert sababu inaonekana ame loose attraction na wewe. Kuna mtu anakaribia kumla mkeo na akishamla huenda mke akachange vibaya mno akakupiga marufuku hata ya kummbato na kuanza migogoro. Mwisho ni kuachana tu sababu mwanamke anajuta kuolewa na wewe huna maisha.
Big yes...mhusika asome hapo👆Anamaanisha wewe sio type yake
Akili kumkichwa ISHI NAE KWA AKILI kashakusoma akili yako mkuu, akili sasa imeamka jiji linaamsha akili za watu hilimtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana
Kabisa kama bado anampenda mkewe warudi uko mbingaTokeni haraka mjini mrudi huko vijijini kabla bomu halijalipuka
Ushauri mzuri mnoMkuu, maana yake ni kuu umeshuka thamani mbele yake. Yaani kipindi mna oana ulikua wa thamani kubwa ilio mvutia na kumfanya kua nawe.
Sasa cha kufanya hapo ni kua pambana kujiongezea thamani. Fanya kazi na mishemishe za kukuingizia kipato ×3 ya sasa, weka mwili wako katika umbo la kuvutia ( fanya mazoezi ) , tafuta marafiki na washauri wenye busara. Na mwisho kabisa punguza matamanio ya sex kwake.
Kila la heri mkuu, Ndoa ina changamoto zake na ndoa ni vita unayotakiwa kushinda.
Na anajutia ujinga alioufanya wa kumkubaliAnamaanisha wewe sio type yake
Nzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23]dah,ila inauma kwani ni lazima kila kitu uongeee jamani,hali hiyo huwapata watu wengi ila unakaa kimya
mwambie hivi hata mi nashangaa ilikuwaje nikakuoa au nilikuwekea limbwata?
msamehe mkuu shida wanawake wakija mjini wanakuwa malimbukeni wanajazana ujinga anaanza kukulinganisha na wanaume wengine,na kama unavyojua mjini kutongozana na kusifiana basi unakuta anaambiwa maneno kama haya kwamba kwa uzuri uliokuwa nao ilibidi uishi maisha ya kifahari kwa hiyo akiangalia ulivyo anaona alikosea anasahau kama wale wanampamba tuDah Yani mkuu Sasa nawaza sana watoto 3, na bibi yao ambaye ni mama yangu ambaye naona angeweza Kaa nao wakati Mimi napambana kuwatafutia ridhki ya kila siku Alisha tangulia mbele za haki, nawaonea huruma kuja kulelewa na mama mwingine, na ukimwachia aende nao hujui huko kwingine Nini kitawasibu
Dah ..aliyesema usimwamini binadamu hata kidogo alikuwa akili kubwa sana.mtu ukiwa umepelekwa kuishi mkoani hasa kijijini kama Kule mbinga huwa na akili nazo zinalala uwezo wa kufikiri zaidi unapungua, na ndiyo maana uliweza kunipata na kunioa Ila ingekuwa tumekutana hapa Dar es salaam, wala hilo lisingewezekana.
Ushauri wako sio mzuri.Mkuu, maana yake ni kuu umeshuka thamani mbele yake. Yaani kipindi mna oana ulikua wa thamani kubwa ilio mvutia na kumfanya kua nawe.
Sasa cha kufanya hapo ni kua pambana kujiongezea thamani. Fanya kazi na mishemishe za kukuingizia kipato ×3 ya sasa, weka mwili wako katika umbo la kuvutia ( fanya mazoezi ) , tafuta marafiki na washauri wenye busara. Na mwisho kabisa punguza matamanio ya sex kwake.
Kila la heri mkuu, Ndoa ina changamoto zake na ndoa ni vita unayotakiwa kushinda.