Kauli hii ya Pastor Tony Kapola inachochea ukatili dhidi ya wanawake walioko kwenye ndoa! Wanawake msifuate ushauri huu

Umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu. Kama wazazi hawataki watoto wahusike kwenye ugomvi wasigombane hadharani. Vinginevyo tutaingilia tu.
 
Kama kupinga watu kupigana ni ufeminist ninaunga mkono. Kajifunze kwanza maana ya neni feminist na kinachopingwa kuhusu hao feminists. Watu wamepoteza maisha na kupata ulemavu wa kudumu kama matokeo ya vipigo kwenye ndoa halafu wewe maku na mngese mwenzio Tony mnazidi kuchochea ushetani.
 
Umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu. Kama wazazi hawataki watoto wahusike kwenye ugomvi wasigombane hadharani. Vinginevyo tutaingilia tu.
Utaingilia kwa kuwaamua tu na sio kujipa jukumu la kuhukumu ni nani mwenye makosa.
 
Acha ujinga hakuna asiye jua kutukana kwani wanao nyanyasika kwenye ndoa ni wanawake tu ?
Mbona siku hizi wanawake wamekuwa sababu ya anguko la wanaume wengi na lakini hampanui midomo yenu kuwatetea?
 
Utaingilia kwa kuwaamua tu na sio kujipa jukumu la kuhukumu ni nani mwenye makosa.
Mkuu hata mimi najua kina mama wana mambo yao ya gizani ila kwa vyovyote vile sikubaliani wao kupigwa hadharani. Wagombane kivyao bila kuleta mbele ya watoto.
 
Acha ujinga hakuna asiye jua kutukana kwani wanao nyanyasika kwenye ndoa ni wanawake tu ?
Mbona siku hizi wanawake wamekuwa sababu ya anguko la wanaume wengi na lakini hampanui midomo yenu kuwatetea?
Panua hilo domo lako uwatetee
 
Siyo kila mtu yupo kama wazazi wako. Ungesisitiza waache kukosa, siyo kutetea ujinga kwa jina la domestic violence. Feminism inaua taasisi ya familia.
Ni kweli sio kila mtu yupo kama wao lakini ni mfano mzuri wa kuigwa na tungependa wengi zaidi waishi kama wao, Mwanaume hana mamlaka ya kumpiga mwanamke, mkishindwana wenyewe, kuna wazazi, kuna taasisi, wakishindwa kote basi achaneni kwa wema, huo unaosema ujinga tunautetea ndio uliowapa ulemavu wanawake wengi sana,

#Ndoa bila Violence inawezekana, ni mwanaume DHAIFU pekee anayeweza kumpiga mwanamke.
 
Nakuunga mkono. Mama yangu hadi leo anasumbuliwa na goti kwa sababu ya kipigo alichopata miaka mingi sana iliyopita mimi nikiwa mdogo sielewi chochote. Binafsi huwa nachukia mno nikienda kwenye harusi halafu kwenye nasaha mtu aseme ndoa ni uvumilivu.
 
mb
mbona kaongea ukweli?
 
Sema umevamia vitu si vya umri wako, huyo dogo anafundisha vijana wanaopenda kusikia anachosema. Story za myth, vijana wanapenda mythical things.
Utapigwa
Unaweza mwambia mtu mzima atapigwa akashtuka?

Ametekwa
Unaweza mwambia mtu mzima mtu katekwa bila taarifa kamili.

Thats teen life. Acha awaenjoy. Uzuri hao wakitoka hapo, tunawapata sehemy za starehe. Nikuwatumia tu hao vijana. Maana ni kweli hawathamini chchte duniani na hao wengi ni 90's. Acha awachanganye.
Si umeona kaulizia tu kijana kajibu nina 28.
 
Unaonekana kwenye mada zinazosupport wanawake ukionyesha kukerwa. Hasa km ni wanaume ndio wameanzisha, ndio maana nimekwambia zi avoid ...halafu unachekesha watu wavumilie domestic violence kisa tu wanawake wakitaka kuachika wataonekana walikuwa wanataka mgao..?.unajua domestic violence kwa watoto damage yake kwa mwanamke je kwa nini ahabgsike na wakati kuna alternative?

Unachekesha ulivyo base the whole argument kwenye ufeminist unasahau kinachoongelewa ni domestic violence

Mada za Natafuta ajira hujawa observant wanawake hawachangii ni nyie wanaume wachache ambao mko wounded na wanawake in your life ndio mnachangiaga huko
 
Sijaona pia baya lolote la Tony Kapola ktk hili.
 
Uongo ambao Wanawake hupenda kusikia ndo umewafikisha hapo...
Hampendi kuambiwa Ukweli.... Mtalalamikaaaa Yani mpaka Mdanganywe ndo mnasikia Vizuri.
 
Mbona jamaa kaongea wisdom nzuri tu japo mi sio mshabiki wake.
Kaongea ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…