MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #81
Njoo nikupe zawadi ya mimba.Why wanawake hatupendani lakin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikupe zawadi ya mimba.Why wanawake hatupendani lakin?
Umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu. Kama wazazi hawataki watoto wahusike kwenye ugomvi wasigombane hadharani. Vinginevyo tutaingilia tu.Kumbe umeathirika kisaikolojia tangu mtoto basi nimekuelewa.
Baba yako hakuwa sawa, wazazi wenye akili timamu sio kupigana tu mbele ya watoto hata kurushia cheche yeyote ya maneno mbele yao haitakiwi kabisa, ugomvi wa mke na mme huwa unaishia chumbani.
Hata hivyo kama baba yako alikuwa alikuwa anatimiza majukumu yake kama baba wa familia hutakiwi kuwa na chuki naye wala hutakiwi kuingilia ugomvi wa wazazi wako haukuhusu.
Na wanaune WAPUMBAVU nao wafanywaje?Wanawake WAPUMBAVU wapigwe kama nyoka.
SIMPS kama mleta mada nao wapewe kipondo heavy.
Kama kupinga watu kupigana ni ufeminist ninaunga mkono. Kajifunze kwanza maana ya neni feminist na kinachopingwa kuhusu hao feminists. Watu wamepoteza maisha na kupata ulemavu wa kudumu kama matokeo ya vipigo kwenye ndoa halafu wewe maku na mngese mwenzio Tony mnazidi kuchochea ushetani.Dah tumeanza kuchaguliana mpaka na mada za kuchangia, sasa mbona na nyinyi huwa mnaenda kuchangia hizo mada za natafuta ajira ambazo hazi wafai?
Hivi tukisema kila wana ndoa watakapo gombana waachane hii dunia itakuwa na ndoa hata moja kweli, maana hapa duniani huwezi kuisha na mtu miaka alafu msihitirafiane hata kidogo.
Nyinyi ukweli mnauita chuki, lakini ukweli ni kuwa nyinyi mafemenist mmekuwa tatizo kubwa sana ndani ya dunia hii hasa kwenye taasisi ya ndoa.
Mnadai 50 kwa 50 kwenye kutumia tu lakini linapo kuja kutimiza wajibu na majukumu ya kifamilia hapo 50 kwa 50 hamuitaki bali mzigo wote wanaangushiwa wanaume.
Uturuki mwaka juzi ilizipiga marufuku taasisi zote zinazo eneza itikadi za kifemenist ndani ya nchi hiyo maana waligundua ni itikadi iliyo jaa uovu na ushetani ndani yake na nyinyi mtafikiwa tu miaka sio mingi.
Utaingilia kwa kuwaamua tu na sio kujipa jukumu la kuhukumu ni nani mwenye makosa.Umeanza vizuri ila mwishoni umeharibu. Kama wazazi hawataki watoto wahusike kwenye ugomvi wasigombane hadharani. Vinginevyo tutaingilia tu.
Acha ujinga hakuna asiye jua kutukana kwani wanao nyanyasika kwenye ndoa ni wanawake tu ?Kama kupinga watu kupigana ni ufeminist ninaunga mkono. Kajifunze kwanza maana ya neni feminist na kinachopingwa kuhusu hao feminists. Watu wamepoteza maisha na kupata ulemavu wa kudumu kama matokeo ya vipigo kwenye ndoa halafu wewe maku na mngese mwenzio Tony mnazidi kuchochea ushetani.
Mkuu hata mimi najua kina mama wana mambo yao ya gizani ila kwa vyovyote vile sikubaliani wao kupigwa hadharani. Wagombane kivyao bila kuleta mbele ya watoto.Utaingilia kwa kuwaamua tu na sio kujipa jukumu la kuhukumu ni nani mwenye makosa.
Panua hilo domo lako uwateteeAcha ujinga hakuna asiye jua kutukana kwani wanao nyanyasika kwenye ndoa ni wanawake tu ?
Mbona siku hizi wanawake wamekuwa sababu ya anguko la wanaume wengi na lakini hampanui midomo yenu kuwatetea?
Ni kweli sio kila mtu yupo kama wao lakini ni mfano mzuri wa kuigwa na tungependa wengi zaidi waishi kama wao, Mwanaume hana mamlaka ya kumpiga mwanamke, mkishindwana wenyewe, kuna wazazi, kuna taasisi, wakishindwa kote basi achaneni kwa wema, huo unaosema ujinga tunautetea ndio uliowapa ulemavu wanawake wengi sana,Siyo kila mtu yupo kama wazazi wako. Ungesisitiza waache kukosa, siyo kutetea ujinga kwa jina la domestic violence. Feminism inaua taasisi ya familia.
Nakuunga mkono. Mama yangu hadi leo anasumbuliwa na goti kwa sababu ya kipigo alichopata miaka mingi sana iliyopita mimi nikiwa mdogo sielewi chochote. Binafsi huwa nachukia mno nikienda kwenye harusi halafu kwenye nasaha mtu aseme ndoa ni uvumilivu.Ni kweli sio kila mtu yupo kama wao lakini ni mfano mzuri wa kuigwa na tungependa wengi zaidi waishi kama wao, Mwanaume hana mamlaka ya kumpiga mwanamke, mkishindwana wenyewe, kuna wazazi, kuna taasisi, wakishindwa kote basi achaneni kwa wema, huo unaosema ujinga tunautetea ndio uliowapa ulemavu wanawake wengi sana,
#Ndoa bila Violence inawezekana, ni mwanaume DHAIFU pekee anayeweza kumpiga mwanamke.
mbona kaongea ukweli?Inasikitisha sana huu uchochezi kufanywa na huyu mtumishi wa Mungu.
Sikutegemea kabisa kuona maneno kama haya yakitolewa na mtu kama huyu
Ningekuwa na mamlaka makanisa kama haya ningeyafutilia mbali.
Hiki ndicho alichokisema:
"Mama zetu walivumilia kwa sababu baba zao hawakuwa tayari kuwaona wanarudi nyumbani. Wakienda kusemelea kwa mama yake, mama mimi John ananifanyia hivi na hivi. Ananitesa, ananinyanyasa, ananipiga. Mama yake anamwambia hivi Mbona mimi baba ako ananipiga, ni kawaida, vumiia tu mwanangu"
"Siku hizi mama ako mwenyewe, kaachika. Anakwambia hivi "akikunyanyulia mkono chumba chako bado kipo. Kwa hiyo binti anaingia kwenye ndoa anajua kabisa chumba chake bado kipo. Kijana jichanganye"
Ni kauli kama hizi zinazofanya wanawake wabaki kwenye ndoa ambazo zimejaa manyanyaso na ukatili uliokithiri.
Ripoti ya World Bank iliyotoka mwaka 2022 ilisema kabisa kuwa asilimia 40 ya wanawake wenye umri kuanzia miaka 19 hadi 40 wameshawahi kupigwa au kufanyiwa vitendo vya ukatili.
Kwa takwimu kama hizi, mtu mashuhuri kama huyu anajitokezaje kwenye halaiki ya watu na kutetea ukatili kwa wanawake.
Kwanini Pastor asingetumia muda huu wa kutetea ukatili kwa wanawake, kuwasema wanaume wanaopiga wanawake zao?
Inasikitisha sana!
Unaonekana kwenye mada zinazosupport wanawake ukionyesha kukerwa. Hasa km ni wanaume ndio wameanzisha, ndio maana nimekwambia zi avoid ...halafu unachekesha watu wavumilie domestic violence kisa tu wanawake wakitaka kuachika wataonekana walikuwa wanataka mgao..?.unajua domestic violence kwa watoto damage yake kwa mwanamke je kwa nini ahabgsike na wakati kuna alternative?Dah tumeanza kuchaguliana mpaka na mada za kuchangia, sasa mbona na nyinyi huwa mnaenda kuchangia hizo mada za natafuta ajira ambazo hazi wafai?
Hivi tukisema kila wana ndoa watakapo gombana waachane hii dunia itakuwa na ndoa hata moja kweli, maana hapa duniani huwezi kuisha na mtu miaka alafu msihitirafiane hata kidogo.
Nyinyi ukweli mnauita chuki, lakini ukweli ni kuwa nyinyi mafemenist mmekuwa tatizo kubwa sana ndani ya dunia hii hasa kwenye taasisi ya ndoa.
Mnadai 50 kwa 50 kwenye kutumia tu lakini linapo kuja kutimiza wajibu na majukumu ya kifamilia hapo 50 kwa 50 hamuitaki bali mzigo wote wanaangushiwa wanaume.
Uturuki mwaka juzi ilizipiga marufuku taasisi zote zinazo eneza itikadi za kifemenist ndani ya nchi hiyo maana waligundua ni itikadi iliyo jaa uovu na ushetani ndani yake na nyinyi mtafikiwa tu miaka sio mingi.
Sijaona pia baya lolote la Tony Kapola ktk hili.Mbona ujumbe wa jamaa na malalamiko ya mtoa uzi ni vitu viwili tofauti. Tony hapo kaonesha namna wazazi wanamchango kwenye ndoa za mabinti zao.
Na kaangalia pande zote mama akiwa anamfanya binti kuwa mvumilivu na namna pia baba anaweza kumharibu binti yake kwa kumpa kila kitu na kukataa kumuachia awe chini ya mwanaume mwengine hasa hapo aliposema ''dad's daughter'' .
World bank na utafiti wa ndoa wapi na wapi?Anachochea kweli ukatili, na anaonesha anawafanyia ukatili wanawake zake, sura yake tu inaonesha
Kwahiyo kwahilo tu ukamuhumu kabisa?Mgogo naye mropokaji. Alishawahi kusema elimu kwa mtoto wa kike sio muhimu.
AliropokaKwahiyo kwahilo tu ukamuhumu kabisa?