Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    31.7 KB · Views: 1
Alitimiza wajibu wake wa kibunge wa kuisimamia na kuishairi serikali. Huyu anastahili. Kinyume chake ni wale wapongezaji ambao hawatusaidii chochote.
Wajibu upi alioutimiza mkuu? Alishindwa kuishauri serikali iachane na ununuzi wa ndege zisizo na faida ili angalau isukume hilo fungu kwenye sekta ya kilimo wakulima wanufaike, alichoweza kuona kina mapungufu ni muonekano wa wafanyakazi! Bunge la magufuli ni upuuzi mtupu, bora tulibadilishie matumizi tufugie hata kuku wa kienyeji tutaexport mayai.
 
Ndio. Hao ndio vigogo wa CCM mkoa wa Kigoma. Yeye, Nswazugwako na Serukamba wote wamechezea kichapo cha malaika mkuu kutoka Chato.
Eti malaikaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
..........................Kwanini Simba na isiwe Yanga?!
Ksbb simba ina wakurupujaji. Ina mropokaji wao mmoja wanamuamini hatari. Akiwaaminisha timu yetu ina uwezo wa kuichapa hata Real Madrid,wanaamini,mpaka wachezaji wanabweteka,wanajikuta wamepigwa na UD-SONGO
 
"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Bosi hana jambo dogo. Hamubipu mtu; ila hutoa pigo.
 
"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Kumbe ndo huyu!?

Wacha anyooke.
 
Ndio alikuwa mbunge wa CCM. Ooooh sawa kumbe hili sio jukwaa lako...twende kule kwa masihara
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kule wamefunga mzee...!! Sasa wanataka tujadili uchaguzii tuu akipita Lissu itabdi arekebishee hili..
 
Simuungi mkono jiwe katika 99℅ ya maamuzi anayoyafanya ila kwa kauli hiyo hata mimi ningemkata tu. Kauli ya kipumbavu na yenye umalaya ndani yake kutoka kwa mama mtu mzima. Sipati picha wale wafanyakazi walijisikiaje!
Baada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.

Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
 
Back
Top Bottom