Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Mdomo umeponza kichwa ,alikosea,si kauli ya kiungwana ,aliwadhalilisha wanawake wenziwe
 
Simuungi mkono jiwe katika 99℅ ya maamuzi anayoyafanya ila kwa kauli hiyo hata mimi ningemkata tu. Kauli ya kipumbavu na yenye umalaya ndani yake kutoka kwa mama mtu mzima. Sipati picha wale wafanyakazi walijisikiaje!
Hapana jamani ccm haimpendi mtu anaetetea wananchi wake au wapigakura wake ameliwa kwakutetea wavuvi walionyanyaswa nakutekwa malizao mpaka leo zipo ikola mkoa wakatavi sisi wavuvi tutakulipia mama nizamu yabakema kwenda bungeni naomba niwakumbushe wavuvi nchi nzima nizamu yetu tumchague niyeye
 
tumiezi vigezo vyenye akili huko ni kupitiwa tu. Mbona magufuli ametukana mara ngapi, amewambia wana Kagera yeye hajaleta tetemeko, amewaambia kusini atawapigia shangazi zenu. mbona hamjamkata?
 
Ni kawaida tumbo likishajaa kuna na kuvimbiwa ,so inaweza sababisha kujamba ovyo kucheua ovyo.kuna wakati lazima ustick kwa mambo ya msingi tu.weka akiba ya maneno.
 
Pumbavu zake kumbe nin yey alitoaga ile kauli chonganishi et mindege
 
Aliongea ukweli kwa upeo wake, baada ya muda picha za wahudumu zikasambaa mitandaoni, kiukweli uvaaji wao haukuwa na mvuto.
Tatizo viongozi wetu wanawapenda watu wa kusifia sifia tu
Mama mbunge aliongea ukweli tupu.
 
..........................Kwanini Simba na isiwe Yanga?!

Kwa sababu Mwenyekiti mstaafu wa simba mh. Ismail Aden Rage aliwahi kuwaita mashabiki wa simba 'mbumbumbu'

Hivyo kuanzia wakati huo, simba inafahamika pia kama mbumbumbu fc! Mashabiki wake akiwemo Mshana Jr hutambulika kama mashabiki wa mbumbumbu fc, viongozi nao wanafahamika kama viongozi wa mbumbumbu fc!

Hapo vipi, umenipata? Ndiyo maana hata Senzo aliamua kukimbilia timu ya Wananchi ili kulinda heshima yake.
 
Daaah Wabongo.... Karibu Dada Maisha bila Kuwa Mbunge wa Viti Maalumu Yanawezekana. Umechukua Kiinua Mgongo Njoo uraiani Maisha yanaendelea..
Wakajiajiri kama ambavyo wanawashauri vijana Siku zote.Boda boda,machinga,mama/baba ntilie au kilimo/ufugaji/uvuvi nk.
 
Wakajiajiri kama ambavyo wanawashauri vijana Siku zote.Boda boda,machinga,mama/baba ntilie au kilimo/ufugaji/uvuvi nk.
Utasikia wanatuita sisi wavivu hatutaki kujiajiri waje huku mtaani tuwape michongo. Wakutane na msoto wa nguvu.

Ukifungua biashara ya mtaji wa milioni 5 TRA wanakuletea kodi ya milioni 9. Hapo lazima maji uite mmaa!.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hakujua Usukumani hamnaga taarabu. Ngoma yao ni chagulaga. Maneno hayo angesema awamu ya nne pengine agepata na uwaziri.
 
Jiwe hajui historia ya chama anachokiongoza ; hilo jina la baba yake ni maarufu kwenye anga za TANU!!
Kosa lake sio kusema kuwa wale wahudumu wa ATCL hawana mvuto bali kwa kauli yake alijitenga na uamuzi wa JIWE wa kununua ndege “ Mmenunua ndege ............” Kama mjuavyo Jiwe hapendi kukosolewa directly or indirectly!!
 
Mwenye picha ya Husna Mwilima please
Screenshot_20200821-203108.jpg
 
Back
Top Bottom