Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

Tetesi: Kauli iliyomponza Husna Mwilima kukatwa uteuzi pamoja na kushinda kura za maoni

Baada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.

Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
Kwamba walitolewaa????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah
 
Kikwetu MWILIMA NI GIZA HIVO HATA AKILI ZAKE ZILISANIFU GIZA GIZA TU ngoja akatwe
 
Baada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.

Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
Ha ha ha. Ukweli mchungu ila ulifanyiwa kazi.
 
Limtokalo mtu la kwanza ndio litokalo moyoni. Akiongea mara ya pili hilo lenu.
Ni kweli kabisa. Hata wimbo ukiimbwa wa kwanza ndo original, ukifanyiwa mabadiliko yoyote ni remix.
 
Baada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.

Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
Hahaha! Kumbe walizingatia ushauri? Nao akili zao ni kama zake tu.

Lakini kulikuwa na namna bora ya kushauri, si kupayuka hadharani. Hata walioondolewa waliondolewa wakifahamu kilichowaondoa ni sura zao!
 
"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Shida ya wabunge wengi wa Ccm hawajui wanacho fuata mjengoni. Wakiwa pale huwa kama wako klabu ya pombe za kienyeji. Angalia kijana kama Goodluck Milinga kwa kweli sikuwahi kujua walio mpa kura waliyumia vigezo gani. He was hopeless. Kuna kama kina Nkamia and of the like hakuwa wana jua majukumu yao ya kibunge. Japo kuna walio penya labda wata badilika kwa kujifunza kwa wenzao..
 
Tukiweka pembeni unazi, wahudumu wa ATCL wana vigezo/viwango vya ushindani Kimataifa?
hawashindani uzuri ila ni utoaji wa huduma,unadhani miss tanzania hiyo? ndio maana kuna mpaka wahudumu wanaume ,acha unyumbu.
 
Back
Top Bottom