Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Hayo ni yako, kakutuma uongee hayo?"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.