Kwamba walitolewaa????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahBaada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.
Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
Hee! Kumbe ni mtambo wa maana.Mwenye picha ya full tuone shepu arushe
ohoo pole sana mkuuMe mwanume utapenda pesa yangu na maneno yangu sio sura yangu!
Shika adabu zilizolegea Kijana. Simba Taifa kubwa Kijana... Usitufananishe na wale waliokumbatia ukoloni wa Kikaburu [emoji23]Huyu ana ufinyu wa akili hafai hata kuwa kiongozi wa kilabu cha Simba.
Ila baada ya hii kauli yake angalau walijirekebisha na kuanza kuajiri vyuma..Mama ana mdomo mchafu sana.
Limtokalo mtu la kwanza ndio litokalo moyoni. Akiongea mara ya pili hilo lenu.Jamani si aliomba radhi na kujutia makosa yake?
kwahiyo simba ndio kwa MBUMBU FC.Huyu ana ufinyu wa akili hafai hata kuwa kiongozi wa kilabu cha Simba.
Ha ha ha. Ukweli mchungu ila ulifanyiwa kazi.Baada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.
Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
Ni kweli kabisa. Hata wimbo ukiimbwa wa kwanza ndo original, ukifanyiwa mabadiliko yoyote ni remix.Limtokalo mtu la kwanza ndio litokalo moyoni. Akiongea mara ya pili hilo lenu.
Hahaha! Kumbe walizingatia ushauri? Nao akili zao ni kama zake tu.Baada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.
Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON
Shida ya wabunge wengi wa Ccm hawajui wanacho fuata mjengoni. Wakiwa pale huwa kama wako klabu ya pombe za kienyeji. Angalia kijana kama Goodluck Milinga kwa kweli sikuwahi kujua walio mpa kura waliyumia vigezo gani. He was hopeless. Kuna kama kina Nkamia and of the like hakuwa wana jua majukumu yao ya kibunge. Japo kuna walio penya labda wata badilika kwa kujifunza kwa wenzao.."Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
Mtaji utoke wapi mkuu wakat zote wajumbe washazi'withdraw?Aje ajiajiri tu si ana mtaji?
Sasa jiulize Mwenyekiti aliamkaje siku hiyo?! Hapo ndipo issue iko!!Lakini aliomba radhi hadharani...kama walivyofanya akina Makamba, Nape na Kinana. Mwenyekiti ana exercise double-standards
yanga ni wananchi aliowatukana, simba ni wahindi..........................Kwanini Simba na isiwe Yanga?!
hawashindani uzuri ila ni utoaji wa huduma,unadhani miss tanzania hiyo? ndio maana kuna mpaka wahudumu wanaume ,acha unyumbu.Tukiweka pembeni unazi, wahudumu wa ATCL wana vigezo/viwango vya ushindani Kimataifa?
..........................Kwanini Simba na isiwe Yanga?!