Hayo ni yako, kakutuma uongee hayo?"Mmenunua ndege ila wahudumu wenu ni wabaya hawana mvuto. Mimi mwenyewe ni mzee ila nimewazidi uzuri wahudumu wa ATCL".. Hii kauli ilimuuma sana Mwenyekiti. Sasa utasugua benchi hadi 2026.
tumiezi vigezo vyenye akili huko ni kupitiwa tu. Mbona magufuli ametukana mara ngapi, amewambia wana Kagera yeye hajaleta tetemeko, amewaambia kusini atawapigia shangazi zenu. mbona hamjamkata?
Mdomo umeponza kichwa. Ka taLicha ya kuongoza kura za wajumbe ila panga limekupitia. Chunga kauli siku nyingine.
.Mwenye picha ya Husna Mwilima please
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hapo kwa vigagula kama tuliaBaada ya kauli hiyo waliwabadili. Kama wewe ni mtumia usafiri wa ATCL utagundua sasa hivi wahudumu ni visu tupu.
Kwa hiyo aliwasaidia kuboresha otherwise kama ni uwongo tungeendelea na wale vigagula wenye sura kama TULIA ACKSON