THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Kauli hizi ni mhimu sana...kwa mashabiki kote Duniani MkuuManeno hata kwenye kanga yapo tunataka makombe tunyanyue makwapa tu.
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!
#Hii Imeenda
View attachment 2822219
The blood is Red and it is life
Hii ni Kali sana!The blood is Red and it is life
Kuna ubaya gani?Mbona Skudu anageuka mhamasishaji wa klabu kulikoni?
Maneno haya wanatakiwa kutamka Ally Kamwe na Privadinho yeye acheze mpira [emoji1787]
Hujui FootballMbona Skudu anageuka mhamasishaji wa klabu kulikoni?
Maneno haya wanatakiwa kutamka Ally Kamwe na Privadinho yeye acheze mpira [emoji1787]
Zile ambazo hua humpigi mkeoAna goli ngapi
ulifeli chekechea?Zile ambazo hua humpigi mkeo
You'll Never walk alone hayakutolewa na Msemaji wa Liverpool.Mbona Skudu anageuka mhamasishaji wa klabu kulikoni?
Maneno haya wanatakiwa kutamka Ally Kamwe na Privadinho yeye acheze mpira [emoji1787]
Hii iwe motto mpya ya timu.Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!
#Hii Imeenda
View attachment 2822219
Kwa sababu kana akili kubwa!Mbona Skudu anageuka mhamasishaji wa klabu kulikoni?
Maneno haya wanatakiwa kutamka Ally Kamwe na Privadinho yeye acheze mpira [emoji1787]