ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,118
Ni kweli kabisa S.A. W katufundsha kufuga majini.Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.
Gwajima alisema kauli gani?Kauli na matamshi ya Askofu Gwajima siyo tu yanakiuka misingi ya mshikamano wa kitaifa, bali pia yanavuruga amani ya kidini ambayo Watanzania tumeijenga kwa miaka mingi. Tanzania ni nchi ya watu wa dini mbalimbali, na viongozi wa kidini wanapaswa kuwa mfano wa kuhubiri upendo, si chuki. Kauli za kubeza Uislamu na kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya dini nyingine ni hatari, na zinaweza kuchochea migawanyiko isiyofaa. Ni muhimu jamii isimame kidete kulaani aina hii ya uchochezi kwa ajili ya kulinda umoja wa taifa letu.
Waislamu ni wachawiGwajima alisema kauli gani?
Hayo maneno kayasema kipindi ganiWaislamu ni wachawi
Uislamu dini ya majini
Atageuza misikiti kuwa Sunday schools
Atawabatiza maimamu wote
Acha kunipotezea muda kwa maswali ya kipuuzi.Hayo maneno kayasema kipindi gani
Kipindi cha kikwete au Samia?
Wewe ni kafiri usijiweke kundi la waislamu. Narudia tena wewe ni kafiri.Nyinyi ndio mnafanya waislam tuonekane mapunguwani, mazumbukuku.
Halafu mbona quraan imesisitiza sana matumizi ya akili, wenzetu huwa mnazipeleka wapi hizo akili?
WAislam msikubali kutumika Kwa mambo ya kisiasa, kwani hiyo sa100 anausaidia Nini uislam katika nchi hii isiyo na dini rasmi?
Nchi Haina dini, Kuna uhuru wa kuabudu, kiongozi yoyote ambae anafaa kutuletea maendeleo ya kidunia, huku kila mtu ana uhuru wa kuabudu basi anatufaa.
Hatuchagui mtu Kwa dini yake, bali Kwa sita zake za uongozi.