Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia

Iwe mambo ya uislamu au ukiristo...
Gwajima ni kinyesi kinachohitaji kutolewa kwenye jamii...
Huyu tapeli mwendo ameumaliza, na sasa wanapiga mpaka kwenye mianya yake ya kukusanya sadaka za misukule, arudi kijiji akalime.....
 
Umet
Wewe ni kafiri usijiweke kundi la waislamu. Narudia tena wewe ni kafiri.
Umethibitisha kwamba wewe akili zako ni za kiKENGE nyinyi ndio wale msiotumia maarifa, ndio wale mkiambiwa mtume alipigana vita nawe unakurupuka na bisu lako uende kupigana, bila kujua mtume alipigana kwa sbaabu ipi, je hicho unachoenda kupigania kina juzu kisheria ama unaenda kupambania maslahi ya watu.

Waislam tanzania hatuchagui rais kisa dini yake pumbavu we, wakati anagombea mkapa kura yako ulimpa lipumba kisa yeye muislam?

Unataka tumchague samia kisa muislam, kwa uislam upinkosa kavaa ushungi, mbona pombe, kamari,riba na mazagazaga mengine.

Tulia mdogo wetu, dini haitaki MIHEMKO..
HUYO MTUME S.A.W hakuendankwa mihemko kama hii, tizama pale alipoteleza kutaka kuharamisha asali, allah alimwambia nini..
Fuatilia vita zote, mikataba aliyoingia na makafiri.
Hakuwa na MIHEMKO.

Tanzania haina dini, wewe una dini yako abudu, hukatazwi na hatuchagui taisi kwa dini yake.

Mwinyi, kikwete na samia wameufanyia nini uislam..
Hiko chuo chetu tu kajenga mkapa.

Sasa kama watu wamatekwa na kuawa asiseme?!
Je hao waliotekwa ni wakristo watupi, kina ali kibao ni wakristo.
Hatuangalii nani kasema, tunaangalia alichosema.
Ni kweli gwajima mjanja mjnaja lakini suala la watu kuuawa ni sahihi, lipo

Sheikh ponda amesema ripoti iliyokwenda bungeni kuna watu takriban 300 sijui waishapoteaga huko.

Tulia mdogo wetu bdini uaihitaji mihemko
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Vijana wa Kizimkazi bwana, hivi ni lini Gwajima alikuambia kuwa ana chuki na Waislam, wacha kumpandikizia mwenzio kashifa zisizo na sababu. Kwani ni Waislam tu wafugao majini, mbona kuna hata Wakristu wafugao majini japo wananunua kwa Waislam lakini wanafuga. Je, Kikwete alikataa au kukanusha kuwa hafugi majini?
 
Kutaka kugeuza misikiti kuwa Sunday schools sio chuki dhidi ya Waislamu?

Kuwabatiza maimamu kwa lazima sio chuki dhidi ya uislamu?

Yaani maimamu wale kitimoto😁😆

Hata mimi ningekuwa muislamu nisingekubali. Hahah
 
Umet
Umethibitisha kwamba wewe akili zako ni za kiKENGE nyinyi ndio wale msiotumia maarifa, ndio wale mkiambiwa mtume alipigana vita nawe unakurupuka na bisu lako uende kupigana, bila kujua mtume alipigana kwa sbaabu ipi, je hicho unachoenda kupigania kina juzu kisheria ama unaenda kupambania maslahi ya watu.

Waislam tanzania hatuchagui rais kisa dini yake pumbavu we, wakati anagombea mkapa kura yako ulimpa lipumba kisa yeye muislam?

Unataka tumchague samia kisa muislam, kwa uislam upinkosa kavaa ushungi, mbona pombe, kamari,riba na mazagazaga mengine.

Tulia mdogo wetu, dini haitaki MIHEMKO..
HUYO MTUME S.A.W hakuendankwa mihemko kama hii, tizama pale alipoteleza kutaka kuharamisha asali, allah alimwambia nini..
Fuatilia vita zote, mikataba aliyoingia na makafiri.
Hakuwa na MIHEMKO.

Tanzania haina dini, wewe una dini yako abudu, hukatazwi na hatuchagui taisi kwa dini yake.

Mwinyi, kikwete na samia wameufanyia nini uislam..
Hiko chuo chetu tu kajenga mkapa.

Sasa kama watu wamatekwa na kuawa asiseme?!
Je hao waliotekwa ni wakristo watupi, kina ali kibao ni wakristo.
Hatuangalii nani kasema, tunaangalia alichosema.
Ni kweli gwajima mjanja mjnaja lakini suala la watu kuuawa ni sahihi, lipo

Sheikh ponda amesema ripoti iliyokwenda bungeni kuna watu takriban 300 sijui waishapoteaga huko.

Tulia mdogo wetu bdini uaihitaji mihemko
Elimu ni kikwazo kwa vijana wengi wa Kiislam hapa Tanzania. Sielewi kwanini hawapendi kusikia ama kuambiwa ukweli, ukiwaelimisha wanakuita kafiri simply because hawajuwi wakifanyacho wakati wewe unawafundisha ili nao wawafundishe wenzao lakini hawataki kusikia ukweli wako stuck kwenye uwongo na kujiaminisha upuuzi usio na kichwa wala miguu. Sijuwi tunawasaidiaje hawa wapuuzi.
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
all in all, aliyekosa ni gwajima, waumini wake makanisa 2000 hawajaongea chochote kwenye madhabahu, angeadhibiwa gwajima (kama ana kosa) waumini waruhusiwe kuendelea kusali, ni haki yao kikatiba, hawajavunja katiba wala sheria, serikali kufuta usajili ni attack ya moja kwa moja kwenye imani za watu hasa wakristo na hatujui atakayefuata ni nani kwasababu waziri wake kwa kujipendekeza amesema wataanza kutathmini makanisa, kwa nini watathmini makanisa ila hawatakuja kutathmin misikiti? target yao ni makanisa tu

Nilichosikitika ni pale bimkubwa anavyozidi kujiaivisha na hajui kama anajianika. kumtukana gwajima kuwa ni mtumishi wa shetani wakati ana wafuasi wengi sana, makanisa zaidi ya 2000 wote wapiga kura hao na wanamwamini, ni jambo la ajabu sana. halafu kwa mlokole, mtu asiyeamini kama mama na wengine kupanga nani wa shetani nani wa Mungu ni kichekesho kwa sababu mlokole yeyote awe wa gwajima au la huamini waislam na wasio walokole ni watumishi wa shetani.
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Wewe Islamist muabudu wa Shetani hao waarabu wako na kitabu chenu cha Shetani kitasema WEWE MUAFRIKA ALLAH ALIKUUMBA KWA KUGUSA BEGA LA KUSHOTO LA ADAM, NA HATIMA YAKO NI MOTONI.
Wewe endekeza upumbavu wako wa UDINI
Screenshot_20250601-013539_Chrome.jpg
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Huyo ni taahira walichelewa sana kufuta Hilo kanisa lake
 
Mbona waislam wenyewe huwa mpo proud na ufugaji wa hayo majini. Sasa kwenye hilo Gwajima anawachafua vipi ?
 
Kwahiyo uislamu ndiyo unaobariki. Utekaji, upotezwaji na mauaji ya wananchi kwa kigezo chochote ?!. Au Uislamu ndiyo unafuga majini !!.

Unaudhalilisha uislamu mwenyewe wala si Gwajima. Manung'uniko ya Gwajima yako very clear. Labda kama una masilahi nayo !
 
Mtoa mada? Inawezekana mawazo Yako yakawa Yana tija kwenye eneo unalotazama Kwa maana tunapaswa kuheshimu mawazo ya Kila mmoja wetu humu. lakini kosa Moja la wazi ambalo umeandika ni kuhusisha udini katika mada Yako maelezo Yako yanawahusisha watu wawili waliopishana mtazamo mbona wakristo wengi tu wanafuga hayo majini Ni nani aliyesema waislamu pekee ndio Wana kibali Cha kufuga majini? ukishaweka udini maana yake utanataka dini ufiche na itetee madhaifu ya mtu..
 
Kauli na matamshi ya Askofu Gwajima siyo tu yanakiuka misingi ya mshikamano wa kitaifa, bali pia yanavuruga amani ya kidini ambayo Watanzania tumeijenga kwa miaka mingi. Tanzania ni nchi ya watu wa dini mbalimbali, na viongozi wa kidini wanapaswa kuwa mfano wa kuhubiri upendo, si chuki. Kauli za kubeza Uislamu na kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya dini nyingine ni hatari, na zinaweza kuchochea migawanyiko isiyofaa. Ni muhimu jamii isimame kidete kulaani aina hii ya uchochezi kwa ajili ya kulinda umoja wa taifa letu.
Nitaendelea kuuheshimu mchango wa Mwalimu Nyerere mpaka siku nitakayoaga dunia. Hekima yake ya kuua uchifu iliona mbali.

Hekima yake ya kusisitizia hoja ya nchi kuwa na umoja iliona mbali sana, alitujua kwa undani watanzania tukiwa bado hatujui masuala ya VPN, facebook na instagram.

Tusingepata bahati ya kuongozwa na hekima zake leo hii tungekuwa tumeshafarakana kwa miaka mingi tu, aliweza kuuzima moto wa udini na ukabila unaokuwa ukiwaka chini kwa chini kwa kutumia hekima na busara zake.
 
Kwahiyo uislamu ndiyo unaobariki. Utekaji, upotezwaji na mauaji ya wananchi kwa kigezo chochote ?!. Au Uislamu ndiyo unafuga majini !!.

Unaudhalilisha uislamu mwenyewe wala si Gwajima. Manung'uniko ya Gwajima yako very clear. Labda kama una masilahi nayo !
Upo ushahidi wa Gwajima kuuchukia uislam tena ni wa video za mahubiri katika kanisa lake.
 
Back
Top Bottom