Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia

Naona mnamshambulia mleta mada. Kama anadanganya leteni ushahidi kwamba hakuwahi kuzungumza haya maneno. Huyo mcheza X anajulikana kwa namna alivyo na chuki dhidi ya uislamu.
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Huu upumbavu wenu wa kulazimisha UDINI utafeli sana acheni ufala wenu njaa zitawaua, utekaji mauaji kuiba bilion 15 Hazina kuwapa akina Makala IGP Bashungwa chawaccm wakandamize Demokrasia kuwateka kuwaua wakosoaji na vitendo haramu vya kishetani vina uhusiano gani na Gwajima?
 
Hayo yalishapita zamani huko

Haya gwajima anayoyasema Sasa je niyauongo?
 
ccm ya mama iddy Amin Dada nii ccm ya ibirisi na mashetani watupu
 
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake tuepuke na mkoloni Dikteta toka Zanzibar kuwatoa kafara watanganyika kupitia utekaji kisha kuwatuma chawaccm kueneza UDINI kifala fala
 
Huu upumbavu wenu wa kulazimisha UDINI utafeli sana acheni ufala wenu njaa zitawaua, utekaji mauaji kuiba bilion 15 Hazina kuwapa akina Makala IGP Bashungwa chawaccm wakandamize Demokrasia kuwateka kuwaua wakosoaji na vitendo haramu vya kishetani vina uhusiano gani na Gwajima?
Gwajima unawashwa sana
 
Hayo yalishapita zamani huko

Haya gwajima anayoyasema Sasa je niyauongo?
Hata haseme nn mbele yetu sisi waislamu ni mnafiki na alisha onyesha chuki za wazi dhidi yetu na hatokuja kupata support yetu. Tutamkumbusha kila muislamu kwa kila njia.
Alafu support yetu waislamu sio ya lazima nyie endelezeni harakati zenu sio lazima tuwaunge mkono.
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Utabiri bado
 
Naona mnamshambulia mleta mada. Kama anadanganya leteni ushahidi kwamba hakuwahi kuzungumza haya maneno. Huyo mcheza X anajulikana kwa namna alivyo na chuki dhidi ya uislamu.
Wewe mbweha yaani unakaa kuvuta Bangi huko Gheto kwa watekaji umejitoa fahamu zote, yaani kwa upumbavu wako uletewe ushahidi hapo Ghetto kwa Amos makala unaposhida ukivuta Bangi? Umeua watu umeteka watu wee hadi laana zinaenda kuiuua sasa, muunganiko ufe Tanganyika idai uhuru wake ili tuepuke nyinyi mashetani ibirisi toka Zanzibar Mkoloni wa Tanganyika
 
Muungano ufe Tanganyika idai uhuru wake tuepuke na mkoloni Dikteta toka Zanzibar kuwatoa kafara watanganyika kupitia utekaji kisha kuwatuma chawaccm kueneza UDINI kifala fala
Acheni kusingizia muungano. Nyie hamtaki waislamu watawale hii nchi. Na mkiendelea hivi na sisi hatutakuja kukubali kamwe mkristo atawale hii nchi kwa amani. Mlicho kianzisha tutakiendeleza. Kama mtataka tugawane hii nchi ni waislamu wapewe chao na nyie mpewe kwenu kila mtu atawale kwake kwa amani.
 
Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan.

Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye ubaguzi wa kidini.

Katika moja ya video zake enzi ya utawala wa Kikwete, Gwajima aliwahi kusema hadharani: “Uongozi wa Kikwete ndiyo ulikuwa wa mwisho kufuga majini Ikulu.”

Kupitia kauli hiyo, alijaribu kupandikiza fikra potofu kuwa Rais Kikwete, kwa kuwa Muislamu, alikuwa mshirikina na mfuga majini.

Si hilo tu, aliwahi pia kusema kuwa “dini ya Kiislamu ni dini ya uchawi na majini.” Kauli ya uchochezi inayolenga kuchafua taswira ya dini hiyo.

Gwajima pia aliwahi kutamka kuwa ana ndoto ya “kugeuza misikiti yote kuwa shule za Sunday Schools” akisisitiza kuwa hatafariki kabla ya kutimiza ndoto hiyo.
Utekaji ni dhahiri, upo waislamu wakristo, ni wote ni wahanga na serekali za CCM ndo watuhumiwa no.1
 
Kwanini mnatoka kwenye lengo kuu la utekaji na mauaji?

Kwanini waliotekwa wote ni waislamu au wakristo?

Kwani watekaji walikuwa wakija wanawauliza dini?

Jibuni hoja hiki kichaka cha dini kimeshapigwa moto kinateketea na watekaji mnatafuta pa kujifichia.
 
Waislam wenye Akili Timanu wote wanajua Dhambi ya Utekaji haina Udini na kamwe hawataingia kwenye mtego huo
 
ibirisi mashetani chawaccm acheni ubwege wenu acheni kuleta UDINI kifala fala hivyo, tambueni mungu anawaona upumbavu wenu na kamwe hamtafanikiwa kwa Waislam wenye Akili Timanu wanajua Utekaji mauaji havina UDINI isipokuwa wapo Ibirisi wachache kama Usitadhijuma ndiyo wanalazimisha udini kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom